-
Iran, Russia na China Zaungana katika Kupinga Snapback
Dec 24, 2025 07:02Wawakilishi wa Iran, Russia na China katika Umoja wa Mataifa wamesisitiza, katika mkutano wa Baraza la Usalama la umoja huo, kwamba madai ya Marekani pamoja na Uingereza na Ufaransa, hayakuwa halali kuhusu kurejeshwa mara moja na bila masharti vikwazo vya UN dhidi ya Jamhuri ya Kislamu maarufu kama snapback.
-
Mashinikizo ya Marekani kwa Pakistan kushiriki katika 'Kikosi cha Usalama cha Kimataifa' cha Gaza na kukataa Islamabad
Dec 23, 2025 23:08Licha ya mashinikizo ya Marekani kwa Pakistan ili kushiriki katika "Kikosi cha Usalama cha Kimataifa" cha Gaza, lakini Islamabad ilitangaza kwamba bado hakuna uamuzi uliochukuliwa nan chi hiyo wa kutuma wanajeshi katika Ukanda wa Gaza.
-
Kuzidi kuwa tata vita vya Sudan; indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu kupanuka wigo wake
Dec 23, 2025 08:24Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kusisitiza umuhimu wa kusitisha vita nchini Sudan, ameonya kuhusu utambulisho wake tata na athari zake zinazopanuka kwa nchi jirani na eneo kwa ujumla.
-
Ulaya na kupuuzwa nchi maskini; wakati kaulimbiu za haki za binadamu zinapopoteza maana yake
Dec 23, 2025 00:49Ulaya imefadhilisha kutoa misaada yake kwa Ukraine kuliko kutoa misaada hiyo kwa nchi maskini hasa za Afrika.
-
Kwa nini Afrika inadai fidia ya utumwa kutoka nchi za Magharibi?
Dec 22, 2025 06:08Afrika imeazimia ipasavyo kulipwa fidia ya kipindi cha utumwa kutoka nchi za Magharibi, na katika suala hili, Rais wa Ghana amechukua jukumu la kudai fidia ya kipindi cha utumwa Wazungu barani Afrika.
-
Venezuela imewezaje kuwa kinara wa ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Latini?
Dec 21, 2025 23:18Venezuela, baada ya kuvuka kikwazo cha vikwazo vya kiuchumi, imejinyakulia kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Kusini mwaka 2025.
-
Kwa nini mpango wa Al‑Ahram kuhusu usalama wa Asia Magharibi ni wa kupotosha na ni hatari?
Dec 21, 2025 04:27Tovuti ya Ahram Online (sehemu ya Kiingereza ya gazeti la Al-Ahram la Misri) katika makala yake imependekeza kufanyika kwa mkutano wa usalama katika eneo la Asia ya Magharibi, kwa ushiriki wa madola yenye nguvu zaidi duniani, ili kuzuia kuanza tena kwa vita kati ya Iran na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kikao cha Brussels na kurudi nyuma Ulaya inayosokotwa na tofauti za ndani, katika mpango wake wa unyang'anyi wa mali za Russia
Dec 20, 2025 23:09Licha ya viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuandamwa na mashinikizo ya kisiasa ya Marekani ya kuwataka watoe msukumo wa kuvipatia suluhisho la haraka vita vya Ukraine, viongozi hao waliokutana kwenye makao makuu ya umoja huo mjini Brussels, wameamua kurudi nyuma na kulegeza msimamo katika uchukuaji uamuzi wenye gharama kubwa na hasi wa kunyakua mali za Russia,
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya ICC; hujuma ya dhahir shahir inayolenga sheria na taasisi za kimataifa
Dec 20, 2025 06:40Katika hatua ya kiupendeleo ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani imewawekea vikwazo majaji wawili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Kuipachika Venezuela lebo ya ugaidi; shutuma za kisiasa au kisingizio cha shambulio?
Dec 19, 2025 22:53Katika hatua yake ya hivi karibuni dhidi ya serikali ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza serikali hiyo kuwa ni ya kigaidi na ameamuru kuzuiwa meli zote za mafuta zinazoingia au kutoka nchini humo.