-
Ushirikiano wa Tehran na Moscow; ushirika wa kimkakati katika njia ya mfumo mpya wa kimataifa
Dec 19, 2025 08:03Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia kuendelea kwa ushirikiano wa kimkakati na ushirikiano kati ya Tehran na Moscow.
-
Itifaki ya kimataifa kuhusu haki ya Wapalestina ya kujiainishia hatima yao
Dec 18, 2025 22:48Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limeunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiainishia hatima na mustakabali wao.
-
Kwa nini Uturuki haiko tayari kubadilisha misimamo yake kuhusu Gaza?
Dec 18, 2025 10:02Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametangaza kwamba nchi yake haitarudi nyuma na wala haitaachana na misimamo yake kuhusu Gaza.
-
Je, mashinikizo ya Marekani yameufanya mchakato wa uteuzi wa Waziri Mkuu nchini Iraq kuwa tata zaidi?
Dec 17, 2025 23:10Gazeti la Al-Akhbar limeandika katika ripoti yake kwamba, kuongezeka kwa mashinikizo ya kisiasa ya Marekani dhidi ya Baghdad kumeufanya mchakato wa kuunda serikali mpya ya Iraq kuwa tata zaidi.
-
Kushtakiwa viongozi wa utawala wa Kizayuni; takwa la pamoja la mataifa ya Kiislamu
Dec 17, 2025 09:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani jinai zinazoendelea kufanywa na Israel huko Ghaza na mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, na amezitaka nchi za ukanda huu na jamii ya kimataifa ichukue hatua kali za kukabiliana na tishio la mara kwa mara la utawala wa Kizayuni dhidi ya amani na utulivu wa eneo hili na dunia nzima kwa ujumla.
-
Je, mabadiliko ya mkakati wa ECOWAS yatarejesha utulivu Afrika Magharibi?
Dec 16, 2025 23:01Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) waliokutano huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria, wamelaani wimbi la mapinduzi ya kijeshi katika eneo hilo na kukubaliana kuunda kikosi cha pamoja cha kuchukua hatua za mapema za kukomesha mapinduzi na ukosefu wa usalama.
-
Mtazamo wa Tunisia na Afrika: Palestina ni jeraha kubwa zaidi la mfumo wa haki wa kimataifa
Dec 16, 2025 08:42Tunisia imeitangaza kadhia ya Palestina kuwa ni jeraha kubwa zaidi la mfumo wa haki duniani.
-
Ana kazi lakini ana njaa; kwa nini wazazi wa Uingereza wanatafuta misaada ya chakula?
Dec 15, 2025 23:20Kadiri uchumi wa Uingereza unavyozidi kulegea na kuporomoka, takribani robo ya wazazi wenye ajira nao wanalazimika kutafuta msaada wa chakula cha bure kutoka mashirika ya hisani.
-
Mkutano wa Tehran; Ubunifu wa Iran kwa ajili ya mwafaka wa kikanda na uthabiti wa Afghanistan
Dec 15, 2025 11:29Mkutano wa wawakilishi maalum wa nchi jirani za Afghanistan pamoja na Russia umefanyika katika wizara ya mambo ya nje ya Iran, mjini Tehran.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Dec 14, 2025 22:48Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.