-
Msimamo wa China unaokinzana na Wazayuni kuhusu mgogoro wa Gaza
Oct 14, 2023 04:11Tangu siku za mwanzo kabisa za shambulio la kasi ya radi la Hamas dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu, msimamo wa China kuhusu suala hilo haukuziridhisha Marekani na Wazayuni.
-
Kuundwa baraza la mawaziri la dharura; kukiri kudhoofika baraza la mawaziri la Netanyahu
Oct 13, 2023 23:32Siku tano baada ya kujiri operesheni ya kushtukiza ya Kimbunga cha al-Aqsa, Benjamin Netanyahu Wazri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel amelazimika kukubali kuunda baraza la mawaziri la dharura.
-
Safari ya kieneo ya Amir Abdollahian inayoangazia vita vya Gaza
Oct 13, 2023 08:07Huku utawala wa Kizayuni ukiendeleza hujuma na vita vyake vya jinai dhidi ya watu wasio na hatia wa Ukanda wa Gaza, Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anasisitiza ulazima wa kukomeshwa jinai hizo za Wazayuni kwa kufanya safari katika nchi kadhaa za eneo.
-
Mgawanyiko mkubwa nchini Marekani juu ya matukio ya hivi karibuni huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Oct 12, 2023 23:05Matukio ya hivi karibuni ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu hususan operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni, kwa hakika mauaji ya halaiki ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza, yameubua migawanyiko kati ya wanasiasa wa Marekani.
-
Kulipiza kisasi cha kushindwa kukubwa kwa gharama ya kufanya jinai za kivita
Oct 12, 2023 08:14Ikiwa ni katika juhudi za kulipiza kisasi cha kushindwa katika operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa, utawala wa Kizayuni umeamua kuwaua kwa umati watu wa Ukanda wa Gaza kwa kutumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa, yakiwemo mabomu ya fosforasi.
-
Je, Ukingo wa Magharibi utaisaidia Gaza?
Oct 12, 2023 03:51Huku siku chache zikiwa zimepita tangu kuanza operesheni ya kushtukiza ya Kimbunga cha al-Aqsa, utawala ghasibu wa Israel umeshadidisha mashambulizi ya kipofu kwenye maeneo ya makazi ya raia huko katika Ukanda wa Gaza ili kujaribu kufidia kipigo ulichopata kutoka kwa wapiganaji wa Hamas.
-
Msimamo tofauti wa Russia na China kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa
Oct 11, 2023 23:01Licha ya uungaji mkono kamili wa Marekani na washirika wake wa magharibi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya operesheni ya Kimbunga ya al-Aqswa na hata Washington kutuma misaada ya kijeshi na zana za kivita kwa utawala huo ghasibu, lakini Russia na China, yakiwa madola mawili hasimu na washindani wa Magharibi, yamechukua msimamo tofauti katika uwanja huu.
-
Kimbunga cha al-Aqswa; kushadidi uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni
Oct 11, 2023 10:58Katika hali ambayo, Wapalestina wanaendelea kuandamwa na hujuma na mashambulio ya mabomu ya utawala wa Kizayuni wa Israel, Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza kuwa nchi hiyo itatoa silaha zaidi kwa Wazayuni.
-
Mauaji ya makusudi dhidi ya raia wa Ghaza wasio na hatia
Oct 11, 2023 01:18Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni ametangaza kuwa ametoa amri ya kuzingirwa kikamilifu Ukanda wa Ghaza.
-
Mtazamo wa kiongozi Muadhamu: Unapodhulumu, subiri kimbunga
Oct 10, 2023 09:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amezungumzia kushindwa "kusikoweza kukarabatiwa" kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa ya vijana wa Kipalestina.