-
Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya
May 25, 2023 22:18Ubaguzi wa rangi ni silaha ya tangu na tangu, ambayo siku hizi, na licha ya kauli mbiu zote za kuwepo usawa baina ya watu wote na haki za binadamu kwa wote, ingali inatumiwa katika Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya watu weusi na wasio Wazungu. Siku hizi katika nchi za Magharibi, watu wa rangi zingine hasa weusi, hawana hadhi sawa na weupe, licha ya wanavyojituma na michango mingi mno wanayotoa.
-
Utunishaji misuli wa Hizbullah na sisitizo la kuwepo umoja katika nyuga zote za Muqawama
May 25, 2023 07:57Jumapili ya tarehe 21 Mei, sambamba na kuwadia maadhimisho ya mwaka wa 23 wa kukombolewa eneo la kusini mwa Lebanon, harakati ya Muqawama ya Hizbullah ilifanya mazoezi makubwa ya kijeshi kwa lengo la kuonyesha utayarifu wa muqawama wa kuilinda ardhi ya Lebanon.
-
Tangazo la Sinan Oghan la kumuunga mkono Erdoğan na majibu ya Kılıçdaroğlu
May 24, 2023 21:56Kama duru za kisiasa zilivyokuwa zikisema, hatimaye Sinan Oghan, mgombea aliyeshindwa katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais wa Uturuki, ametangaza rasmi nia yake ya kumuunga mkono mgombea wa 'Muungano wa Jumhuri', Recep Tayyip Erdoğan, katika awamu ya pili ya uchaguzi.
-
Umuhimu wa ziara ya rais wa Iran nchini Indonesia
May 24, 2023 06:14Rais Seyed Ebrahim Raisi, wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Jumatatu alitembelea Indonesia, kwa mwaliko rasmi wa rais mwenzake wa Indonesia, Joko Widodo.
-
Hasira ya watu wa Japan dhidi ya Biden na maandamano dhidi ya mkutano wa G7 huko Hiroshima
May 23, 2023 23:58Mkutano wa viongozi wa nchi saba wanachama wa nchi zilizoendelea kiviwanda huko Hiroshima, Japan, umetoa fursa muhimu kwa wananchi wa nchi hiyo, hasa wakazi wa Hiroshima, kutoa malalamiko yao na kuwakosoa vikali watawala wa kibepari, hasa Rais Joe Biden wa Marekani.
-
Umuhimu wa kimkakati wa safari ya karibuni ya kundi la 86 la Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
May 23, 2023 02:57Kundi la 86 la Wanamaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran liirejea nchini karibuni kwa mafanikio makubwa baada ya kuzunguka dunia baharini kwa muda wa miezi 8.
-
Kulalamikia vikali Waislamu Kanada sheria mpya ya marufuku ya kusali shuleni
May 22, 2023 22:52Waislamu nchini Kanada wamelalamikia vikali marufuku ya kusali iliyowekwa katika shule za serikali kwenye jimbo la Quebec.
-
Safari ya Rais Ebrahim Raisi Jakarta; fursa ya kuimarisha mashirikiano ya Iran na Indonesia
May 22, 2023 10:03Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameelekea Jakarta, mji mkuu wa Indonesia akijibu mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Joko Widodo al-maarufu Jokowi.
-
Mkutano wa Jeddah; Uwepo wa Syria na sisitizo la haja ya kutatua changamoto za ndani za nchi za Kiarabu
May 21, 2023 23:16Mkutano wa 32 wa wakuu wa nchi za Kiarabu ulifanyika Mei 19 ukiwa umeandaliwa na Saudi Arabia mjini Jeddah, huku taarifa ya mwisho ya mkutano huo ikikaribisha kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na kuimarishwa ushirikiano kati ya nchi hizo sambamba na haja ya kutatuliwa changamoto za ndani za nchi hizo.
-
Vigezo vya maslahi ya nchi katika sera ya kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 21, 2023 07:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kikao na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza juu ya kujiepusha na diplomasia ya kuomba omba na pia ulazima wa maingiliano ya busara na yanayozingatia maslahi ya zama sambamba na kudumisha misingi ya mfumo wa Kiislamu.