-
Unyanyasaji wa kinyama wa wafungwa wa Iran katika magereza ya Ulaya; ishara ya undumakuwili katika haki za binadamu
May 29, 2023 22:06Hatimaye, baada ya takriban miaka 5, Asadollah Asadi, mwanadiplomasia wa Iran aliyekuwa amezuiliwa nchini Ubelgiji, aliwasili Tehran siku ya Ijumaa. Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman ilitangaza Ijumaa kwamba Oman ilifanikiwa kupatanisha Ubelgiji na Iran ili kutatua suala la raia waliofungwa katika nchi hizi mbili na kwamba watu wawili waliachiliwa huru na Tehran na Brussels.
-
Sisitizo kuhusu utambulisho wa ubaguzi wa rangi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
May 29, 2023 07:46Mjukuu wa Nelson Mandela, marehemu kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao zilizoghusubiwa na kusema: “Wapalestina wanahitaji kuungwa mkono kivitendo kwa ajili ya kupata uhuru.”
-
Uzushi na undumakuwili wa Zelensky dhidi ya Iran
May 28, 2023 21:54Rais wa Ukraine kwa mara nyingine tena ameitaka Iran isiipatie Russia ndege za kivita zisizo na rubani kauli ambayo ameitoa kwa kutegemea madai bandia ambayo yamepingwa mara kadhaa na Iran na pia Ukraine haijaweza kutoa ushahidi wowote wa maana kuhusu madai hayo.
-
Mwaka wa tatu wa mauaji ya George Floyd; kuendelea ubaguzi wa rangi dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika
May 28, 2023 07:19Ikiwa umetimia mwaka wa tatu tangu kuuawa kikatili George Floyd, Mmarekani mwenye asili ya Afrika, yaliyofanywa na polisi mbaguzi mzungu anayeitwa Derek Chauvin katika mji wa Minneapolis, Minnesota, suala la ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi nchini Marekani dhidi ya watu weusi au wenye asili ya Afrika bado ni miongoni mwa matatizo makubwa katika nchi hiyo.
-
Uchambuzi kuhusu mlingano wa muqawama/utawala wa Kizayuni tokea mwaka 2000 hadi sasa
May 27, 2023 21:47Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Alhamisi usiku alitoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya maadhimisho ya kukombolewa Lebanon inayojulikana kama "Idi ya Muqawama na Ukombozi" na kubainisha mabadiliko yaliyojiri katika mlingano wa muqawama na utawala wa Kizayuni.
-
Kuachiliwa huru mwanadiplomasia wa Iran; Mafanikio kwa Jamhuri ya Kiislamu na kushindwa upinzani
May 27, 2023 07:20Assadollah Assadi mwanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyekuwa ametekwa nyara hatimaye amerejea Iran baada ya kushikiliwa mateka huko Ubelgiji kwa miaka mitano.
-
Idi ya muqawama; siku ya jinamizi kwa wavamizi
May 26, 2023 22:09Tarehe 25 Mei mwaka 2000, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulishindwa vibaya sana kwa kipigo kikali ulichopata kwa Muqawama wa Hizbullah ya Lebanon; na matokeo yake ukalazimika kurudi nyuma na kuondoka kimadhila kusini mwa nchi hiyo. Siku hiyo imekuwa maarufu nchini Lebanon kwa la jina la "Sikukuu ya Muqawama".
-
Matunda ya kisiasa na kiuchumi ya safari ya Rais wa Iran nchini Indonesia
May 26, 2023 08:27Jumatano ya juzi Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikamilisha safari yake ya siku mbili nchini Indonesia.
-
Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya
May 25, 2023 22:18Ubaguzi wa rangi ni silaha ya tangu na tangu, ambayo siku hizi, na licha ya kauli mbiu zote za kuwepo usawa baina ya watu wote na haki za binadamu kwa wote, ingali inatumiwa katika Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya watu weusi na wasio Wazungu. Siku hizi katika nchi za Magharibi, watu wa rangi zingine hasa weusi, hawana hadhi sawa na weupe, licha ya wanavyojituma na michango mingi mno wanayotoa.
-
Utunishaji misuli wa Hizbullah na sisitizo la kuwepo umoja katika nyuga zote za Muqawama
May 25, 2023 07:57Jumapili ya tarehe 21 Mei, sambamba na kuwadia maadhimisho ya mwaka wa 23 wa kukombolewa eneo la kusini mwa Lebanon, harakati ya Muqawama ya Hizbullah ilifanya mazoezi makubwa ya kijeshi kwa lengo la kuonyesha utayarifu wa muqawama wa kuilinda ardhi ya Lebanon.