-
Onyo la Herzog la kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya utawala wa Kizayuni
Jan 26, 2023 22:41Mizozo na migogoro imeongezeka ndani ya utawala wa Kizayuni kiasi kwamba, rais wa utawala huo pandikizi, Isaac Herzog ametishia tena kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe na hali ya Israel kuripuka kutokana na mizozo ya kisiasa na mifarakano shadidi katika jamii ya utawala wa Kizayuni.
-
Mgogoro wa nishati Ulaya na kukimbilia Italia kwenye gesi ya Algeria
Jan 26, 2023 10:07Waziri Mkuu wa Italia, Bi Giorgia Meloni Jumatatu wiki hii alifanya ziara ya siku mbili nchini Algeria na kutia saini mikataba kadhaa ya kuongeza kiwango cha kuingia barani Ulaya gesi nyingi zaidi ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Kutangaza al-Azhar kususia bidhaa za Sweden na Uholanzi; ulazima wa kuchukua hatua kali dhidi ya kuvunjiwa heshima Qur'ani
Jan 26, 2023 00:33Jumatano ya jana tarehe 25 Januari Chuo cha Kiislamu cha al-Azhar cha nchini Misri kilitoa mwito kwa wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kususia bidhaa za Uholanzi na Sweden kama moja ya njia za kuunga mkono Qur'ani Tukufu baada ya kushuhudiwa matukio mawili tofauti katika mataifa hayo ya kuchomwa moto Qu'ani Tukufu.
-
Kuendelea kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu, na majukumu makubwa ya tawala na mataifa ya Kiislamu
Jan 25, 2023 10:21Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu Rasmus Paludan raia wa Sweden achome moto nakala ya kitabu kitakatifu cha Qur'ani mbele ya ubalozi wa Uturuki mjini Stockholm, raia mmoja wa Uholanzi baada ya kupata idhini ya Meya wa jiji la Hague yalipo makao makuu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amefanya kitendo kingine kama hicho cha kifudhuli baada ya kuchoma moto Qur'ani Tukufu.
-
Kanada imezilipa fidia jamii za kiasili kwa sababu haikuwa na budi ila kufanya hivyo
Jan 24, 2023 22:58Serikali ya Kanada imeafiki kulipa fidia ya dola bilioni 2.1 kwa waathiriwa wa jamii za kiasili ambao walikabiliwa na mateso katika shule za bweni kwa takriban karne moja.
-
Mtazamo mwingine kuhusu uwekezaji mkubwa wa Bin Salman katika michezo Saudia
Jan 24, 2023 02:45Iwapo mtu yeyote atafuatilia habari za Saudi Arabia baada ya kunyakuliwa madaraka ya nchi hiyo ya kifalme na Mohammed bin Salman, atakumbana na mkanganyiko mkubwa katika mielekeo na sera za nchi hiyo.
-
Kisingizio cha Sweden cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu; chuki dhidi ya Uislamu nyuma ya pazia la uhuru wa kusema
Jan 23, 2023 23:21Tobias Billstrom, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Sweden ameandika ujumbe katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter akitoa radiamali ya hatua ya mataifa mbalimbali ya dunia ya kukosoa kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu wa Qur'ani.
-
Kukalia kuti kavu baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu
Jan 23, 2023 04:40Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamiin Netanyahu halijafikisha hata muda wa mwezi mmoja ambapo tayari linakabiliwa na hatari ya kusambaratika.
-
Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq
Jan 23, 2023 00:17Marekani ingali inaendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iraq kwa namna hasi, kwa kuzingatia nyenzo za mashinikizo ilizonazo mikononi mwake.
-
Kiwewe cha nchi za Ulaya kwa nafasi ya kudhamini usalama ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 22, 2023 04:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema katika mazungumzo ya simu aliyofanya na mwenzake wa Uswisi Tobias Billström kwamba, nchi za Ulaya zina deni la malipo ya shukrani kwa juhudi kubwa za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kupambana na ugaidi na akabainisha kwamba: Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) liliiokoa miji mikuu ya Ulaya na mashambulizi ya DAESH (ISIS).