-
Uungaji mkono wa Marekani kwa mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Crimea; jitihada za kujaribu kuchochea vita
Jan 21, 2023 22:54Sabrina Singh, Naibu Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ameeleza kuwa, eti Marekani inakitambua kisiwa cha Crimea kuwa sehemu ya ardhi ya Ukraine na kwamba inaunga mkono oparesheni za Kyiv za kukikomboa kisiwa hicho.
-
Ukosoaji wa Iran kwa kimya cha Baraza la Usalama mkabala wa jinai za utawala wa Kizayuni
Jan 21, 2023 08:12Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha baraza hilo kuhusu Palestina kuwa mwaka uliopita ulikuwa mwaka wa mauaji makubwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu; kwa sababu vitendo vya ukandamizaji, kupenda kujitanua na vya kibaguzi vya utawala wa Israell dhidi ya raia wa Palestina viliendelea na kushika kasi bila kusita.
-
Kuongezeka juhudi za wapatanishi kwa ajili ya kusitisha vita Yemen
Jan 20, 2023 22:55Juhudi za pande za kigeni kwa ajili ya kufanikisha usitishaji vita huko Yemen zimeongezeka sambamba na kuanza mwaka huu mpya wa Miladia.
-
Lavrov: NATO iko vitani na Russia kupitia Ukraine
Jan 20, 2023 09:01Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa muungano wa kijeshi wa NATO uko vitani na nchi hiyo kupitia Ukraine. Ameongeza kuwa: "Kinachotokea Ukraine ni matokeo ya maandalizi ya Marekani ya vita vya mseto dhidi ya Russia." Ameisitiza kuwa Umoja wa Ulaya umepoteza uhuru wake na sasa uko chini ya satwa ya Marekani moja kwa moja.
-
Umoja wa Ulaya washadidisha uingiliaji katika masuala ya ndani ya Iran
Jan 19, 2023 23:13Katika muendelezo wa uingiliaji wa Umoja wa Ulaya katika masuala ya ndani ya Iran, Bunge la Ulaya linatafakari na kujadili suala la kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) katika kile kinachoitwa orodha ya mashirika ya kigaidi.
-
Januari 19; Siku ya Ghaza na nembo ya muqawama wa Kiislamu
Jan 19, 2023 06:36Januari 19 imetajwa katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni "Siku ya Ghaza" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya vita vya siku 22 katika Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
Onyo la makundi ya mapambano ya Palestina kuhusu kuimarishwa uhusiano wa Baku na Tel Aviv
Jan 18, 2023 23:04Kupitia taarifa, makundi ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina yameitaka Azerbaijan kutazama upya hatua yake ya kuanzisha husiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Kuongezeka idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina mwaka 2022
Jan 18, 2023 05:34Vyombo vya habari vya Kiibrania vimetangaza karibuni kwamba idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu mwaka uliopita wa 2022 kutokana na mapambano makali ya Waplestina dhidi ya askari vamizi wa utawala wa Israel iliongezeka sana.
-
Radiamali ya Waislamu duniani kwa hatua ya gazeti la Kifaransa la Charlie Hebdo
Jan 17, 2023 22:55Radiamali na jibu kali la Waislamu duniani dhidi ya hatua ya kukakariwa na ya kutusi na kuvunjia heshima ya gazeti la Kifaransa la Charlie Hebdo limebainisha ukweli huu kwamba, Marajii wa Kishia na hususan Ayatulla Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu anapendwa mno ulimwenguni.
-
Kupotosha jina la Ghuba ya Uajemi; kosa kubwa la Waziri Mkuu wa Iraq
Jan 17, 2023 07:16Kung'ang'ania Mohammed Shia' Al Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq kutumia jina bandia la Ghuba ya Kiarabu balada ya jina halisi la Ghuba ya Uajemi, kumezusha swali hili kwamba, lengo la mwanasiasa huyo la kufanya upotoshaji huu wa kihistoria ni nini hasa?