-
Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi
Dec 27, 2022 22:27Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.
-
Ongezeko la utoro na kujiua wanajeshi wa utawala haramu wa Israel
Dec 27, 2022 09:57Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Yediot Ahronot limeripoti kuwa, askari 14 wa jeshi la utawala huo wamejiua katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, idadi ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Kukirihishwa polisi na vyombo vya habari vya Magharibi katika kukabiliana na kuakisi ugaidi wa Wazungu
Dec 26, 2022 22:58Shambulio la kigaidi na la ubaguzi wa rangi lililotokea hivi karibuni Paris, mji mkuu wa Ufaransa, kwa mara nyingine limeonesha jinsi polisi na vyombo vya habari vya Magharibi vinavyokirihishwa, kuchukizwa na kutopenda kabisa kukabiliana na kuakisi vitendo vya kigaidi vinavyoifanywa na Wazungu magaidi.
-
2022; mwaka wa muqawama wa Palestina
Dec 26, 2022 06:36Ahmed al Mudallal, mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, bila ya shaka yoyote mwaka 2022 umekuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa ya muqawama wa Palestina.
-
Kudumishwa harakati za Imarati kinyume na fikra za waliowengi katika ulimwengu wa Kiarabu
Dec 25, 2022 22:46Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wa Palestina na wakati huo huo kukalia kwa mabavu maeneo matakatifu ya Waislamu ikiwa ni pamoja na Msikiti wa al-Aqsa, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, umetia saini mapatano mapya ya kushirikiana kiuchumi na kibiashara na utawala huo ghasibu.
-
Marekani yakataa kujibu barua ya maripota wa UN kuhusu vikwazo dhidi ya Iran
Dec 25, 2022 08:28Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa chini ya vikwazo vya upande mmoja vya Marekani kwa zaidi ya miaka 40. Kuwekwa vikwazo dhidi ya Iran katika kipindi cha uongozi wa Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani baada ya kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuanzisha kampeni ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, kumezidisha vikwazo visivyo na kifani vya nchi hiyo dhidi ya taifa la Iran.
-
Jibu la Iran kwa tuhuma za kukaririwa na zisizo na msingi za Ukraine
Dec 24, 2022 22:46Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani tuhuma za kukaririwa na matamshi yasiyofaa ya Rais wa Ukraine katika Kongresi ya Marekani kuhusu Iran na kusema kwamba Zelensky anapaswa kujua kuwa subira ya kistratijia ya Iran kwa tuhuma zisizo na msingi haitaendelea milele bila ya kuwa ni kikomo.
-
Kumalizika ziara ya Zelenskyy nchini Marekani na uwezekano wa kuendelea vita huko Ukraine
Dec 24, 2022 07:13Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amekamilisha ziara yake ya kwanza huko Marekani baada ya kuanza vita huko Ukraine. Hii ni safari ya kwanza nje ya nchi kufanywa na Zelenskyy baada ya kuanza vita huko Ukraine
-
Baraza jipya la mawaziri la Netanyahu na changamoto zilizopo
Dec 24, 2022 02:24Benjamin Netanyahu alitangaza katika dakika za mwisho za muda wake wa mwisho kisheria wa kutangaza serikali kwamba alikuwa amefanikiwa kuunda baraza jipya la mawaziri la utawala haramu wa Israel.
-
Kukatwa matangazo ya kanali za Irani na Russia katika satelaiti ya Eutelsat; ishara ya ukiukaji wa uhuru wa kujieleza
Dec 23, 2022 05:00Shirika la satelaiti la Utelsat limepata hasara ya euro milioni kadhaa kutokana na uamuzi wake wa kukata matangazo ya kanali za Iran na Russia kwenye satelaiti hiyo.