-
Ukosoaji wa Waziri Mkuu wa Pakistan kuhusu kuenezwa chuki dhidi ya Waislamu
Sep 25, 2022 23:35Waziri Mkuu wa Pakistan ametaka kukomeshwa mara moja chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, hasa nchini India.
-
Kupungua thamani ya pauni; kudorora uchumi wa Uingereza
Sep 25, 2022 04:19Ikiwa ni katika kuendelea kupanuka mgogoro wa kiuchumi barani Ulaya na athari za mpango wa kiuchumi wa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Liz Truss, siku ya Ijumaa, thamani ya pauni ya nchi hiyo ilifikia kiwango chake cha chini kabisa katika kipindi cha miaka 37 iliyopita.
-
Upinzani wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja
Sep 24, 2022 22:42Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa wamedhihirisha upinzani wao dhidi ya vikwazo vya upande mmoja, na kusisitiza juu ya kuheshimiwa mamlaka, ardhi na kujitawala kwa nchi huru. Mawaziri hao wamesisitiza hilo katika mkutano wao uliofanyika kando ya kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo Septemba 22 huko New York.
-
Nafasi ya vikundi vya kifalme na vyombo vya habari vinavyopingana Uislamu katika machafuko ya sasa nchini
Sep 24, 2022 03:55Katika siku za hivi karibuni, miji mbalimbali ya Iran imeshuhudia ukosefu wa usalama ambapo mkono wa waungaji mkono wa mfumo wa utawala wa kifalme na vyombo vya habari vya upinzani unaonekana wazi.
-
Kupungua ushawishi wa mfumo wa kambi moja; ulimwengu unakaribia kuingia katika mpangilio mpya wa utawala
Sep 23, 2022 23:03Akizungumza karibuni katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Tumekusanyika hapa leo katika hali ambayo tunakabiliwa na ukweli muhimu, yaani, "kugeuka na kubadilika ulimwengu" na kuingia katika "zama na mfumo mpya."
-
Hotuba ya Biden katika Umoja wa Mataifa na lawama zisizo na msingi kuhusu masuala mbalimbali
Sep 23, 2022 03:33Katika hotuba yake kwenye Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano, Rais Joe Biden wa Marekani aliashiria masuala mbalimbali na kufafanua msimamo wa Washington kuhusu masuala hayo.
-
Kesi ya Shirin Abu Aqleh katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC
Sep 22, 2022 23:15Chama cha Waandishi wa Habari wa Palestina kimetangaza kuwa kesi ya Shirin Abu Aqla, mwandishi wa habari wa Kipalestina wa televisheni ya al-Jazeera, tayari imekabidhiwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza kuendelea njia ya mapambano dhidi ya maadui
Sep 22, 2022 04:32Akizungumza hivi karibuni katika shehere ya kuwaenzi maveterani wa vita vya kujitetea kutakatifu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwamba ilithibitika wazi katika kipindi cha vita vya kujitetea kutakatifu kwamba ulinzi wa nchi na kuzuia vitisho vya adui hakutimii kwa kusalimu amri, bali kwa kusimama imara na kudumisha mapambano.
-
Onyo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya ya dunia
Sep 21, 2022 22:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, viongozi wanaokutana ana kwa ana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita kwenye mkutano wa kila mwaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wanapaswa kukabiliana na migogoro, majanga ya mabadiliko ya tabianchi na kuongezeka umaskini na ukosefu wa usawa, na washughulikie migawanyiko kati ya mataifa makubwa ambayo imekuwa mibaya zaidi tangu vilipoanza vita nchini Ukraine.
-
Sura halisi ya Mapinduzi ya Kiislamu, sababu kuu ya vikwazo dhidi ya Iran
Sep 21, 2022 03:56Alena Douhan, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesambaza rasmi ripoti yake kuhusu athari za vikwazo vya Marekani kwa wananchi wa Iran na kusema kuwa, vikwazo hivyo vipo na vimeendelea kuwepo tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.