-
Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds
Sep 20, 2022 21:42Skuli za Palestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu zimeanzisha mgomo jumuishi kwa ajili ya kulalamikia sera za elimu za utawala ghasibu wa Israel pamoja na mpango mchafu wa utawala huo wa kuziyahudisha shule za Kipalestina.
-
Vikwazo, ugaidi, vita na umwagaji damu; matokeo ya uchukuaji maamuzi ya upande mmoja
Sep 20, 2022 09:26Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran adhuhuri ya jana Jumatatu aliwasili mjini New York akiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa Tehran kwa minajili ya kushiriki katika mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Msisitizo mwingine wa Iran wa kuwa tayari kubadilishana wafungwa na Marekani
Sep 19, 2022 21:51Nasser Kanaani, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni alitembelea shirika la habari la ISNA ambapo pamoja na mambo mengine alifanyiwa mahojiano maalumu na ripota wa shirika hilo lililopo jijini Tehran.
-
Sisitizo la Nasrullah juu ya ulazima wa kuendelezwa Muqawama wa kukabiliana na adui Mzayuni
Sep 19, 2022 04:53Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Muqawama ndio njia pekee ya kukabiliana na adui mzayuni. Nasrullah ameyasema hayo katika hotuba aliyotoa siku ya Jumamosi kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Kutochapishwa ripoti ya mateso ya CIA kwa kisingizio cha tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani
Sep 18, 2022 21:55Ripoti ya Seneti ya Marekani kuhusu mpango wa kikatili wa utesaji na kuwahoji washukiwa wa ugaidi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) chini ya anwani "Programu ya Kuhoji Iliyoboreshwa" haitachapishwa kwa sasa.
-
Kuhuishwa uhusiano wa Hamas na Syria; kuimarisha muqawama katika eneo
Sep 18, 2022 06:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa inataka kuwa na uhusiano imara na Syria katika fremu ya uamuzi wake wa kuanzisha tena uhusiano na serikali ya Damascus.
-
Hatua za upande mmoja za Marekani; lengo ni kuyabakisha nyuma kimaendeleo mataifa ya dunia
Sep 17, 2022 07:00Mkutano wa 22 wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika nchini Uzbekistan na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekubaliwa na kuwa mwanachama rasmi wa jumuiya hiyo.
-
Miaka arubaini baada ya jinai ya Israel ya Sabra na Shatila
Sep 17, 2022 06:29Septemba 16, inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 40 ya jinai iliyotekelezwa na utawala haramu wa Israel huko Sabra na Shatila nchini Lebanon .
-
Upinzani wa marais wa Russia na China dhidi ya ulimwengu wa kambi moja
Sep 16, 2022 20:53Rais wa Russia, Vladimir Putin, alisema Alkhamisi iliyopita katika mazungumzo yake na mwenzake wa China Xi Jinping yaliyofanyika kando ya mkutano wa kilele wa "Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai" huko Samarkand, nchini Uzbekistan kwamba jitihada za kuunda ulimwengu wa kambi moja hazikubalika.
-
Ushindi wa mrengo wenye misimamo mikali katika uchaguzi wa Uswidi; onyo kwa Ulaya
Sep 16, 2022 08:56Muungano mpya wa kisiasa ulioanzishwa kati ya vuguvugu la mrengo wa kulia wa wastani na wa mrengo mkali wa kulia nchini Uswidi umeshinda uchaguzi wa bunge kwa tofauti ndogo na kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Uswidi baada ya miaka minane.