-
Udharura wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini Iraq
Sep 05, 2022 21:43Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq kwa mara nyingine ametoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya kutatua matatizo ya nchi hiyo.
-
Kununuliwa ardhi kwa ajili ya Wazayuni; juhudi za kuyahudishwa Manama
Sep 05, 2022 01:10Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya al-Wifah nchini Bahrain amesema kuna mpango wa siri unaotekelezwa kwa lengo la kuanzisha mtaa wa Mayahudi katika sehemu kongwe ya Manama, mji mkuu wa Bahrain.
-
Kugonga mwamba juhudi za Israel za kuanzisha uhusiano wa kawaida na Pakistan
Sep 04, 2022 21:58Viongozi kadhaa wa kidini, kisiasa, wanafikra na wasomi wa Kipakistan wamesema katika kongamano la kifikra kuhusu Palestina kwamba, juhudi za hivi karibuni za Marekani na vibaraka wake za kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Pakistan na Israel zimegonga mwamba.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kurejeshwa nyuma na Iran Uistikbari wa dunia
Sep 04, 2022 05:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ikipata ilhamu ya Ahlul-Beiti (as) iliyashinda na kuyarejesha nyuma majoka yenye vichwa saba ya Uistikbari na ikasonga mbele kimaendeleo.
-
Mzozo mpya wa Russia na Magharibi kuhusu nishati
Sep 03, 2022 23:08Mawaziri wa fedha wa nchi saba zilizoendelea kiviwanda duniani, zinazojulikana kama G7, walikubaliana Ijumaa, Septemba 2, katika mkutano uliofanyika kwa njia ya video, kuweka mipaka ya bei kwa mauzo ya mafuta ya Russia.
-
Nafasi ya nchi za kigeni katika ghasia za hivi karibuni nchini Iraq
Sep 03, 2022 07:46Moja ya masuala muhimu ambayo yanaibuliwa kuhusu machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq ni nafasi ya nchi za kigeni katika machafuko hayo.
-
Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia
Sep 02, 2022 23:56Licha ya shinikizo la Marekani kwa nchi nyingine kwa ajili ya kuitenga Russia kutokana na vita vya Ukraine, Moscow imeandaa mazoezi makubwa ya kijeshi ya nchi kavu, anga na baharini kwa kuzishirikisha nchi nyingine 13.
-
Kupamba moto vita vya nishati barani Ulaya
Sep 01, 2022 21:57Suala la kudhaminiwa mahitaji ya gesi kwa nchi za Ulaya sasa limekuwa tatizo sugu kwa nchi hizo. Nchi za Ulaya, ambazo ziliamua kuiwekea Russia vikwazo vya kila aina ili kuishinikiza katika vita vya Ukraine, sasa zinaituhumu Moscow kwamba inaitumia gesi kama silaha ya vita.
-
Mapitio ya barua ya kihistoria ya Imam Khomeini (MA) kwa Gorbachev
Sep 01, 2022 05:45Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Muungano wa Jamhuri za Kisoshalisti za Sovieti (Union of Soviet Socialist Republics, USSR) alifariki dunia Jumanne usiku katika hospitali moja mjini Moscow, Russia akiwa na umri wa miaka 91 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
-
Sisitizo la Iran la kufanyika mazungumzo kati ya makundi ya kisiasa ya Iraqi kwa ajili ya kutatuliwa mzozo uliopo
Aug 31, 2022 21:57Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imetoa tamko kuhusiana na matukio ya hivi laribuni nchini Iraq na kusisitiza kuwa: "Tehran daima inataka Iraq yenye utulivu, salama na yenye nguvu."