-
Kifo cha Gorbachev na mafunzo ya kihistoria
Aug 31, 2022 05:56Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Shirikisho la Sovieti, alifariki dunia Jumanne usiku akiwa na umri wa miaka 91 katika hospitali moja mjini Moscow baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kifo cha Gorbachev kimekabiliwa na hisia nyingi za ndani na nje, ambapo Rais Vladimir Putin wa Russia, maafisa wa UN na Katibu Mkuu wake na wakuu kadhaa wa nchi, wametuma salamu za rambirambi.
-
Msimamo mmoja wa wapinzani Bahrain wa kususia uchaguzi wa Bunge
Aug 30, 2022 21:49Uchaguzi wa Bunge nchini Bahrain umepangwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Hata hivyo mrengo wa upinzani nchini humo umetangaza kususia uchaguzi huo.
-
Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq
Aug 30, 2022 08:30Jumatatu ya jana tarehe 29 Agosti Iraq ilishuhudia sokomoko na matukio ambayo kimsingi yalitabiriwa kutokea.
-
Sisitizo la kuendelezwa "medani za pamoja za mapambano" na kuangaliwa Israel kama adui wa pamoja wa Wapalestina wote
Aug 29, 2022 22:01Huku utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ukiwa umeanzisha vita vikali vya kisaikolojia katika siku za hivi karibuni kuulenga uhusiano wa Hamas na Jihadul-Islami, viongozi wa harakati hizo mbili za muqawama za Palestina wamesisitiza katika mazungumzo yao kwamba wameungana na wako kitu kimopja katika mapambano yao dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Kushadidi mgogoro nchini Libya kwa kuanza tena vita na mapigano makali
Aug 29, 2022 08:41Kufuatia kushadidi mzozo wa kisiasa nchini Libya kati ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Abdul Hamid al-Dbeibeh na serikali mpya iliyopewa mamlaka na Bunge inayoongozwa na Fathi Bashagha, mapigano yameanza upya kati ya vikosi vya pande hizo mbili katika mji mkuu Tripoli.
-
Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza
Aug 28, 2022 22:03Kufuatia matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Nader Hashemi, Mhadhiri na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Mashariki ya Kati katika Chuo Kikuu cha Denver, kuhusiana na uwezekano wa Israel kuhusika katika shambulio dhidi ya Salman Rushdie, Warepublican katika Congress ya Marekani wameonya kuhusu ushawishi wa Iran katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kutangaza kwamba watachunguza suala hilo katika miezi ijayo.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria
Aug 28, 2022 08:32Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua "ukurasa mpya" katika uhusiano wa pande mbili.
-
Kuendelea mkwamo wa kisiasa nchini Lebanon
Aug 27, 2022 20:51Licha ya kupita zaidi ya miezi miwili tangu kuteuliwa Najib Mikati kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon, lakini hadi sasa nchi hiyo ingali inakabiliwa na mkwamo wa kisiasa hususan kuhusiana na uundwaji wa serikali.
-
Takwa la Umoja wa Mataifa la kuungwa mkono wakimbizi Waislamu wa Rohingya
Aug 27, 2022 07:50Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh.
-
Mashambulizi haramu ya Marekani nchini Syria, nembo ya ubeberu wa Washington
Aug 26, 2022 22:54John Kriby, mratibu wa mahusiano ya kiistratijia ya baraza la usalama wa taifa la ikulu ya Marekani, White House amejaribu kuhalalalisha mashambulio haramu ya nchi yake huko Syria na kudai kuwa, eti Washington haina nia ya kuzidisha machafuko katika eneo hili.