-
Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 03, 2022 22:03Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika kipindi kipya na cha wasiwasi na mivutano baada ya kuanza mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kuwa pamoja na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.
-
Amani iliyotoweka katika baadhi ya nchi za Kiislamu
May 03, 2022 06:11Wakati nchi za Kiislamu zinasherehekea Idul Fitr na Waislamu wakiwa katika sikukuu na mapumziko baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, katika baadhi ya nchi za Kiislamu ikiwa ni pamoja na Afghanistan, amani na usalama inaonekana kuwa kiungo muhimu zaidi kinachokosekana katika maisha ya watu wa nchi hizo.
-
Kuongezeka miamala ya kibiashara kati ya Iran na wanachama wa Jumuiya ya Shanghai
May 03, 2022 00:16Ushirikiano wa Iran na nchi za ukanda huu ambao ni katika siasa kuu za Jamhuri ya Kiislamu hasa katika serikali ya hivi sasa, umezaa matunda mengi mazuri yakiwemo ya kuongezeka mabadilishano ya kibiashara baina ya Tehran na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Majigambo ya Daesh ya kufanya makumi ya operesheni za kigaidi ndani ya Ramadhani
May 02, 2022 02:45Genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) limejigamba kuwa, katika mwezi mtukufu wa Ramadhani limefanya opresheni 128 na kuua na kujeruhiwa watu wasiopungua 400.
-
Jitihada za siri na za wazi za Israel za kuharibu uhusiano wa Iran na nchi za Kiarabu na Ulaya
May 01, 2022 21:57Viashiria vilivyopo vinaonyesha kuwa, sambamba na juhudi kubwa zinazofanywa huko Marekani na Magharibi kwa ujumla za kuzuia kuhuishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; katika eneo la Mashariki ya Kati pia utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya njama za kuzuia kuimarika uhusiano wa Iran na Saudi Arabia, na vilevile kuharibu uhusiano wa Iran na Uturuki.
-
Misimamo ya Taliban mkabala wa mlipuko wa kigaidi huko Kabul
May 01, 2022 10:01Msemaji wa serikali ya Taliban amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti mmoja katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul siku ya Ijumaa iliyopita. Kundi la Taliban limelitaja shambulizi hilo ambalo liliua na kujeruhi makumi ya waumini, kuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu.
-
Ujumbe wa Siku ya Quds kutoka kwa viongozi wa Palestina huko Sanaa; uzinduzi wa muungano wa kimkakati wa makundi ya mapambano ya Yemen na Palestina
Apr 30, 2022 22:02Moja kati ya sifa za Siku ya Kimataifa ya Quds ya mwaka huu ambayo pia ni kielelezo cha maendeleo ya kistratijia, ni hotuba za Khaled al-Batsh ambaye ni miongoni mwa viongozi wa harakati ya Jihad Islamu ya Palestina na Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hrakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mwishoni mwa maandamano ya Siku ya Quds yaliyofanyika Sana'a mjini mkuu wa Yemen.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kupanuliwa muqawama kote Palestina
Apr 30, 2022 06:59Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Ijumaa alihutubu kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo alitaja dalili kadhaa zenye kutia matumaini kuhusu mustakbali tofauti kwa maslahi ya wananchi wa Palestina ikiwemo kupanuliwa uwanja wa mapambano katika ardhi yote ya Palestina na mkabala wake, kudhoofika utawala ghasibu wa Kizayuni na muungaji wake mkono mkuu yaani Marekani.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds; ubunifu wa kuhuisha kadhia ya Palestina
Apr 29, 2022 22:39Jana tarehe 29 Aprili ilisadifiana na mwezi 27 Ramadhani ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu, siku ambayo ni maalumu kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Umuhimu na falsafa ya Siku ya Kimataifa ya Quds; tofauti zake za kimsingi na siku za nembo za kabla yake
Apr 29, 2022 05:37Mamilioni ya Waislamu na wapenda haki na uadilifu leo wamejitokeza katika maeneo mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds.