-
Siku ya Kimataifa ya Quds na matukio mapya ya kistratijia katika uwanja wa Palestina
Apr 28, 2022 22:09Kama dalili zinavyoonyesha, mwaka huu Wapalestina wataadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds kwa msisimko na shauku maalumu. Huenda ni msisimuko na shauku hiyo ndiyo inayapa maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Quds sifa maalumu na ya kipekee.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa China mjini Tehran; ukurasa mpya katika uhusiano wa kiulinzi na kijeshi wa pande mbili
Apr 28, 2022 02:41Jenerali Wei Fenghe, Waziri wa Ulinzi wa China aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Brigedia Jenerali Mohammad Reza Gharaei Ashtiani, Waziri mwenzake wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Muqawama wa kutumia silaha; aina bora kabisa ya kupambana na utawala wa Kizayuni
Apr 27, 2022 22:12Makundi ya muqawama ya Palestina yametoa tamko la pamoja katika wakati huu wa kukaribia mno Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni kesho Ijumaa tarehe 29 Aprili 2022 na mbali na kuashiria jinai za utawala wa Kizayuni yamesema kwamba, mapambano ya kutumia silaha ndio muqawama bora kabisa wa kukabiliana na utawala wa Kizayuni.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuwa na uhusiano na Wazayuni ni kosa kubwa sana
Apr 27, 2022 05:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amegusia maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na ambayo kwa mwaka huu yanasadifiana na Ijumaa ya keshokutwa ya tarehe 29 Aprili, 2022 na kusema kuwa, kuwa na uhusiano na utawala huo dhalimu ni kosa kubwa sana.
-
Changamoto za ndani na za nje za Macron katika duru ya pili ya urais nchini Ufaransa
Apr 26, 2022 22:08Kushinda tena Emmanuel Macron Rais wa Ufaransa katika uchaguzi wa Rais wa mwaka huu kumeibua maswali mengi kuhusiana na sababu hasa ya wananchi wa nchi hiyo kumpigia kura mwanasiasa huyo.
-
Kuendelea mvutano baina ya Marekani na mataifa ya mrengo wa kushoto ya Amerika ya Latini
Apr 26, 2022 08:56Marekani ingali inaendeleza siasa zake za chuki na hasama dhidi ya mataifa ya mrengo wa kushoto ya Amerika ya Latini.
-
Wasiwasi na matumaini ya duru ya tano ya mazungumzo ya Iran na Saudi Arabia
Apr 25, 2022 23:18Kufanyika duru ya tano ya mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia huko Baghdad, mji mkuu wa Iraq, kumetoa matumaini ya kufanyika duru ya sita ya mazungumzo hayo.
-
Macron ashinda uchaguzi wa rais wa Ufaransa
Apr 25, 2022 04:06Emmanuel Macron jana Jumapili, Aprili 24, alichaguliwa tena katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais kuiongoza Ufaransa, na hivyo kuchukua hatamu za nchi hiyo kubwa ya Ulaya kwa kipindi kingine cha miaka 5.
-
Onyo jipya la kijeshi la Marekani kwa China
Apr 24, 2022 21:48Mashindano ya kijeshi na kiusalama baina ya Marekani na China katika eneo la Indo-Pasifiki yamechukua muelekeo mpya kutokana na jitihada za pande mbili za kujiimarisha kijeshi katika eneo hilo muhimu kistratijia.
-
Msikiti wa Al Aqsa, utambulisho wa kihistoria na kidini wa Palestina
Apr 24, 2022 03:56Karibu Wapalestina 150,000 walishiriki katika Sala ya Ijumaa iliyopita iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.