Uchambuzi
  • Ordibehesht Pili; Siku ya kuadhimisha kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)

    Ordibehesht Pili; Siku ya kuadhimisha kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)

    Apr 23, 2022 09:35

    Kamandi Kuu ya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya kumbukumbu ya kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kusisitiza kuwa: Kung'ara jeshi hilo katika kupambana na fitna mbalimbali kumewaghadhibisha maadui.

  • Kukosolewa kikao cha mawaziri wa nje wa Jumuiya ya nchi za Kiarabu, kinachodai kutetea Quds Tukufu

    Kukosolewa kikao cha mawaziri wa nje wa Jumuiya ya nchi za Kiarabu, kinachodai kutetea Quds Tukufu

    Apr 22, 2022 22:04

    Katika kikao kilichofanyika Alkhamisi tarehe 21 Aprili huko Jordan, Kamati ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Kiarabu ambayo imepewa jukumu la kukabiliana na hatua zisizo za kisheria za utawala wa kigaidi wa Israel huko Quds Tukufu, imesisitiza udharura wa kusimamishwa mara moja uchokozi na hujuma ya Wazayuni huko Quds na katika Msikiti wa al-Aqsa.

  • Sisitizo la Iran la kurudishwa amani ya kudumu katika eneo kwa kuondolewa ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina

    Sisitizo la Iran la kurudishwa amani ya kudumu katika eneo kwa kuondolewa ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina

    Apr 22, 2022 03:46

    Hussein Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa amani ya kudumu katika eneo la Asia Magharibi itapatikana tu kwa kuondolewa kikamilifu ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina, kurejea wakimbizi wote katika ardhi zao za jadi na kuainishwa mfumo wa utawala wa baadaye wa Palestina kwa msingi wa kura ya maoni pamoja na kuundwa serikali huru katika ardhi hizo.

  • Serikali ya mseto ya Bennett na Lapid katika ncha ya kusambaratika

    Serikali ya mseto ya Bennett na Lapid katika ncha ya kusambaratika

    Apr 21, 2022 21:30

    Makundi ya Waarabu ndani ya serikali ya sasa ya Tel Aviv yaani United Arab List (UAL) chama kinachowawakilisha Waarabu wanaoishi ndani ya maeneo yaliyotwaliwa na Israel chini ya uenyekiti wa Mansour Abbas mbunge wa Kiarabu ambaye pia ni mwakilishi wa muungano wa serikali ya mseto ya Israel, yametoa masharti kwa ajili ya kubakia katika baraza la mawaziri la Naftali Bennett.

  • Russia yakosoa juhudi za Magharibi za kurefusha vita vya Ukraine

    Russia yakosoa juhudi za Magharibi za kurefusha vita vya Ukraine

    Apr 21, 2022 04:41

    Waziri wa Ulinzi wa Russia, Sergei Shoigu amesema kwamba Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimefanya jitihada kubwa za kurefusha muda wa operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine.

  • Kukosolewa unafiki wa Marekani kuhusu suala la haki za binadamu

    Kukosolewa unafiki wa Marekani kuhusu suala la haki za binadamu

    Apr 20, 2022 22:20

    Ilhan Omar, mbunge wa Kiislamu katika Congress ya Marekani amesema kuwa madai yanayotolewa na utawala wa Wadhington kuhusu haki za binadamu duniani ni ya kinafiki, na kusisitiza kuwa kama nchi hiyo inataka kuishtaka Russia katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusiana na tuhuma zinazotolewa dhidi yake kuhusu vita vya Ukraine, inapasa kwanza yenyewe ijiunge na kuwa mwanachama wa mahakama hiyo.

  • Kuendelea hatua za Imarati dhidi ya taifa la Palestina

    Kuendelea hatua za Imarati dhidi ya taifa la Palestina

    Apr 20, 2022 03:30

    Ikiwa ni katika kuendeleza hatua zake dhidi ya taifa la Palestina na katika kivuli cha kudumushwa vitendo vya mabavu vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina, serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, imechukua hatua nyingine mbili katika kuimarisha uhusiano wake na utawala huo wa kibaguzi.

  • Kuendelea mivutano ya kisiasa nchini Libya

    Kuendelea mivutano ya kisiasa nchini Libya

    Apr 19, 2022 22:16

    Mivutano ya kisiasa imeongezeka huko Libya ambapo serikali inayoongozwa na Fathi Pashaga, inailaumu Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa kuibua mivutano hiyo na kutahadharisha kuwa serikali hiyo itabeba dhima ya tukio lolote litakalohatarisha maisha ya Walibya.

  • Iran yalaani kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu nchini Uswidi

    Iran yalaani kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu nchini Uswidi

    Apr 19, 2022 06:25

    Ali Bahadori Jahromi, Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika ukurasa wake binafsi wa kijamii akijibu vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya hususan nchini Uswidi kwamba: “Uhuru wa kidini umebadilishwa kuwa kukashifiwa dini za mbinguni, na uhuru wa kujieleza umekuwa chombo cha kueneza misimamo mikali na ubaguzi wa rangi katika nchi za Magharibi."