-
Kwa nini Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasisitiza kulinda mafanikio ya sekta ya nyuklia?
Nov 03, 2025 22:52Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametembelea Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) na kushuhudia kwa karibu mafanikio ya karibuni ya wanasayansi wa sekta ya nyuklia katika nyanja za afya, tiba na utengenezaji dawa za radiopharmaceutical na kisha kuzungumza na maafisa wa ngazi ya juu wa sekta hiyo.
-
Umuhimu wa kusimama kidete Muqawama wa Lebanon katika kukabiliana na njama za Marekani na Israel
Nov 03, 2025 06:19Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon Hizbullah Sheikh Naim Qassem, amesisitiza kuwa Hizbullah haitasalimu amri kwa vitisho vya Marekani kwa sababu nchi hiyo si mpatanishi asiyeegemea upande wowote na inaunga mkono utawala wa Kizayuni na uvamizi wa Israel.
-
Kuna taathira gani za kufukuzwa Mwanamfalme Andrew katika mfumo wa ufalme wa Uingereza?
Nov 02, 2025 08:04Mapema usiku wa Ijumaa, Kasri ya Buckingham ilitoa taarifa rasmi ikitangaza kwamba Mwanamfalme Andrew amevuliwa vyeo vyote vya kifalme, majukumu rasmi na fursa za heshima, uamuzi ambao Mfalme Charles III aliutaja kuwa "usioepukika" kwa ajili ya kuepusha taasisi ya ufalme kuzama kwenye wimbi la kutoaminika nchini Uingereza.
-
Kwa nini UN inayataja mashambulizi ya Marekani katika Bahari ya Karibi kuwa ni kinyume na sheria za kimataifa?
Nov 02, 2025 01:20Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa mashambulizi ya Marekani katika eneo la Caribbean yanakiuka sheria za kimataifa.
-
Jinsi himaya isiyo na masharti ya Ujerumani kwa Israel inavyoakisi unafiki wa vigezo vya Magharibi vya haki za binadamu
Nov 01, 2025 08:59Msemaji wa harakati ya Hamas amekosoa kauli za Kansela wa Ujerumani Friedrich Mertz za kujaribu kutetea uhalifu na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
-
Kwa nini Iran inataka kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Cuba bila masharti yoyote?
Oct 31, 2025 09:15Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo vyote dhidi ya Cuba bila masharti yoyote.
-
Madai yasiyo na msingi ya Trump ya eti ushindi wa Marekani katika vita vyote; ni kujisahaulisha matukio ya Afghanistan na Iraq?
Oct 30, 2025 23:43Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kwamba nchi hiyo itashinda kama itaingia vitani na nchi yoyote.
-
Agizo la Trump la kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia; Dunia inarudi kwenye mashindano ya silaha za nyuklia?
Oct 30, 2025 08:22Rais Donald Trump wa Marekani ameamuru kuanzishwa tena majaribio ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.
-
Mkutano wa ECO mjini Tehran; Ishara ya Utulivu, Uaminifu na Fursa Mpya za Uchumi
Oct 29, 2025 22:48Mkutano wa nne wa mawaziri wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO) umefanyika mjini Tehran, ukiwahusisha mawaziri na manaibu mawaziri wa mambo ya ndani wa nchi wanachama.
-
Wasiwasi wa mamilioni ya Wamarekani kuhusu upatikanaji wa chakula; Je, Marekani kweli ni nchi tajiri?
Oct 29, 2025 08:49Kadri mgogoro wa kifedha unavyoendelea Marekani, watu milioni 42 wa nchi hii wanahofia kuhusu upatikanaji wa chakula chao.