-
Kwa nini safari ya Rais Pezeshkian nchini Pakistan ni mabadiliko katika diplomasia ya kikanda?
Aug 04, 2025 09:50Sambamba na matukio ya kijiopolitiki ya kikanda, ziara ya Rais Masoud Pezeshkian wa Iran nchini Pakistan si tu ya kidiplomasia, bali pia ni hatua ya kimkakati ya kufafanua upya nafasi ya Iran katika milingano na mahesabu ya kieneo.
-
Kutambua rasmi nchi ya Palestina: Hatua ya Kibinadamu au Mbinu ya Kisiasa?
Aug 03, 2025 22:57Abdel Bari Atwan, mchambuzi mashuhuri katika ulimwengu wa Kiarabu anasema kuwa, mpango wa kulitambua taifa la Palestina ni hadaa nyingine ya watetezi na waungaji mkono wa utawala ghasibu wa Israel unaoukalia kwa mabavu Quds Tukufu.
-
Safari ya Rais Pezeshkian nchini Pakistani na muhimu wake katika milinganyo ya kijiopolitiki
Aug 03, 2025 08:34Safari ya Rais Pezeshkian nchini Pakistan sio tu kielelezo cha diplomasia amilifu ya Tehran, lakini pia inaweza kuwa ishara ya nafasi ya Iran katika milinganyo ya kijiopolitiki ya eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Kuongezeka matukio ya kujiua miongoni mwa askari wa Kizayuni; jeshi la Israel linasambaratika kutokea ndani
Aug 02, 2025 22:55Vitendo vya kujiuawa vitakuwa kuwa tishio na jinamizi kuu miongoni mwa wanajeshi wa Israel baada ya kumalizika vita vya Gaza.
-
Nchi za Magharibi zinaonyesha sura hasi kuhusu Iran ili kushughulisha maoni ya umma kutokana na mizozo ya ndani
Aug 02, 2025 10:34Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar iliripoti mnamo Julai 31, 2025 kwamba Uingereza na nchi zingine 13 ziliituhumu Iran kuwa inapanga kufanya mauaji na utekaji nyara katika nchi za Magharibi, madai ambayo yamekanushwa vikali na Tehran.
-
Je, matakwa ya wabunge wa Ulaya ya kuwawekea vikwazo maafisa wa Israel yatatekelezwa?
Aug 01, 2025 23:11Wabunge 40 wa Ulaya wametoa wito wa kuwekewa vikwazo maafisa wa serikali ya Israel.
-
Ujumbe wa Kongamano la Kimataifa la Palestina kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa
Aug 01, 2025 11:33Mkutano wa Kimataifa wa Palestina umeafiki kuchukua hatua za pamoja za kumaliza vita vya Israel dhidi ya watuu wa Gaza, na kuunga mkono kile kilichoitwa kuwa suluhisho la "nchi mbili" na kuanzishwa kwa taifa la Palestina.
-
Ulaya kuitambua rasmi Palestina ni hatua iliyochukuliwa kwa kuchelewa au ni ubadilishaji wa mkakati tu?
Jul 31, 2025 23:15Siku chache baada ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kutangaza kuwa atalitambua rasmi taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, serikali ya Uingereza nayo pia imesisitiza kuwa hivi karibuni itaitambua nchi ya Palestina.
-
Kwa nini Marekani inang'ang'ania Hizbullah ya Lebanon ipokonywe silaha?
Jul 31, 2025 05:19Duru za habari zimetangaza kuwa Marekani imeongeza mashinikizo yake kwa Lebanon ya kuitaka ipitishe haraka iwezekanavyo kupitia baraza lake la mawaziri uamuzi rasmi unaoiwajibisha kuipokonya silaha Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa nchi hiyo ya Hizbullah.
-
Kwa nini kizazi kipya cha Wamarekani hakiipendi tena Israel?
Jul 31, 2025 02:09Kwa miongo kadhaa, kuiunga mkono Israel nchini Marekani haukuwa tu msimamo wa kisiasa bali pia sehemu ya utambulisho wa taifa kwa raia wengi. Katika duru za kisiasa, vyombo vya habari, na taasisi za elimu ya juu, uaminifu kwa Israel ulionekana kama thamani ya pamoja ya Wamarekani. Lakini hali hiyo sasa imebadilika, hasa miongoni mwa vijana wa kizazi kipya.