-
Namna Watoto Wachanga wa Kipalestina Walivyogeuzwa Kuwa Walengwa wa Jinai za Kivita
Jul 02, 2026 10:36Ripoti mpya ya Tume Huru ya Kimataifa ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel imefichua mwelekeo mpya wa vita kwa kuwasilisha ushahidi wa kulengwa kimfumo watoto wachanga huko Gaza.
-
Kwa nini makubaliano ya Washington yamefungua njia ya fitina mpya nchini Lebanon?
Jun 30, 2026 05:53Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon ametahadharisha kuhusu njama mpya dhidi ya Lebanon akiashiria makubaliano ya Washington kati ya serikali ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuwahutubu wananchi wa nchi hiyo kwa kusema: "Enyi watu wa Lebanon, hii ni njama hatari."
-
Kwa nini Hizbullah inapinga makubaliano ya serikali ya Lebanon na Israel?
Jun 29, 2026 09:05Sheikh Naim Qassim, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, na baadhi ya wabunge wa Hizbullah wamekosoa na kupinga vikali mazungumzo yanayodaiwa kufikiwa kati ya serikali ya Lebanon na utawala haramu wa Israel.
-
Sardasht; Jeraha Lisilosahaulika Duniani
Jun 29, 2026 07:49Julai 28, 1987, imewekwa alama katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama kumbukumbu ya moja ya jinai za kivita za kutisha dhidi ya ubinadamu. Siku hii, inakumbushia shambulio la kikatili la mabomu ya kemikali katika mji wa Sardasht lililofanywa na utawala wa Baath wa Iraq; jinai ambayo ilitekelezwa kwa uungaji mkono na kimya cha aibu cha madola ya Magharibi.
-
Madai ya Uongo Kuhusu Kufikiwa Malengo ya Marekani katika Vita Dhidi ya Iran
Jun 27, 2026 05:20J.D Vance, Makamu wa Rais Donald Trump wa Marekani, amedai kuwa malengo yote yaliyotangazwa na utawala wa nchi hiyo na hasa ya kijeshi na ya nyuklia katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Iran yamefikiwa. Vance amedai kuwa Marekani imefanikiwa kufikia yale yote iliyokuwa imepanga kuyafikia kwa kutumia uwezo wake wa kiuchumi, kidiplomasia na kijeshi.
-
Ashura; Shule ya Ufahamu na Uaminifu Iliyovuka Mipaka ya Historia
Jun 25, 2026 12:55Ashura; Shule ambayo iliunganika na damu tukufu na kupelekea watu waaminifu 72 kuuawa shahidi, na hivyo kuwa taa ya wongofu wa historia huku wakiwa wamechagua utukufu wa milele kwa ufahamu na mwamko kamili.
-
Netanyahu alinasa vipi katika mtego wa vita vyake mwenyewe?
Jun 23, 2026 11:38Kutiwa saini Mkataba wa Maelewano wa Islamabad kati ya Iran na Marekani kumevuruga milinganyo anayoipendelea Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni na kuuweka utawala huo katika hali isiyo na mfano wake ya kutengwa kimkakati, kudhoofika kijeshi na mgogoro wa kisiasa; hali ambayo hata vyombo vya habari vya Israel yenyewe vinaitaja kuwa "mbaya sana kwa Israel."
-
Kwa nini Ulaya ina wasiwasi kuhusu mrengo wa Lebanon?
Jun 22, 2026 05:52Uungaji mkono wa Ulaya juu kwa usimamishaji hujuma ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon katika maelewano kati ya Tehran na Washington unaonyesha wasiwasi unaoongezeka wa nchi za Ulaya kuhusu kuenea vita na taathira zake hasi katika uthabiti na usalama wa eneo.
-
Kwa nini Israel haina uwezo wa kuilazimisha Hizbullah ijisalimishe?
Jun 21, 2026 12:42Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesema, maadui walijaribu kuandaa mazingira ya kuuangamiza muqawama kwa kutumia vibaya serikali ya Lebanon na kuunda mwavuli haramu wa kisheria, lakini pamoja na hayo si tu kwamba adui wa Kizayuni alishindwa kuilazimisha Hizbullah ijisalimishe, bali pia inaendelea kupipigania ushindi wa mwisho.
-
Kutoka uwanja wa vita hadi meza ya mazungumzo; Je, Iran imebadilisha vipi milinganyo ya vita?
Jun 19, 2026 10:27Kusainiwa Mkataba wa Maelewano wa Islamabad na Marais wa Iran na Marekani kunashiria mwisho wa mojawapo ya mivutano na makabiliano makubwa zaidi kati ya nchi hizi mbili.