Uchambuzi
  • Utendaji tata wa Trump katika siku 100 za kwanza za urais wake

    Utendaji tata wa Trump katika siku 100 za kwanza za urais wake

    May 02, 2025 09:29

    Zimepita siku 100 tangu Donald Trump aingie Ikulu ya White House nchini Marekani.

  •  Juhudi za Bunge la Marekani kuongeza bajeti ya silaha za nyuklia na kijeshi

    Juhudi za Bunge la Marekani kuongeza bajeti ya silaha za nyuklia na kijeshi

    May 01, 2025 23:32

    Ofisi ya Bajeti ya Bunge la Marekani (CBO), taasisi ya shirikisho isiyoegemea upande wowote, imetangaza kwamba ikiwa Marekani inataka kuendelea kutumia uwezo wa vikosi vyake vya silaha za nyuklia, itahitaji kuongeza bajeti yake kwa kiwango kikubwa.

  • Je, dunia itabaki kuwa mtazamaji pekee wa mauaji ya kimbari Gaza?

    Je, dunia itabaki kuwa mtazamaji pekee wa mauaji ya kimbari Gaza?

    May 01, 2025 09:47

    Ukanda wa Gaza uko katika janga kubwa la kibinadamu. Katika miezi iliyopita, kushadidi mzingiro wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo sambamba na mashambulizi ya mara kwa mara ya angani na nchi kavu, na vizuizi vikali vya misaada ya kibinadamu vilivvyowekwa na utawala huo wa Kizayuni vimeharibu si tu miundombinu ya msingi ya eneo hilo, bali pia vimeweka hatarini matumaini ya kuendelea kuishi kwa malaki ya raia wa Palestina.

  • Majibu ya Tehran kwa Shutuma za Uongo za Ufaransa Kuhusu Mpango wa Nyuklia wa Amani wa Iran

    Majibu ya Tehran kwa Shutuma za Uongo za Ufaransa Kuhusu Mpango wa Nyuklia wa Amani wa Iran

    Apr 30, 2025 22:48

    Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeed Iravani, amewatumia barua Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akielezea kuwa madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kwamba Iran iko "katika hatua ya mwisho" ya kuzalisha silaha za nyuklia ni yasiyo na msingi na kisiasa ni hatua isiyo ya uwajibikaji. Iran haijawahi kuwa na nia ya kutafuta silaha za nyuklia na haijabadilisha sera yake ya ulinzi.

  • Oktoba 7; Netanyahu aeupuka uwajibikaji huku mgawanyiko ikishadidi Israel

    Oktoba 7; Netanyahu aeupuka uwajibikaji huku mgawanyiko ikishadidi Israel

    Apr 30, 2025 10:06

    Miezi 18 baada ya Oktoba 7, 2023, bado serikali ya utawala wa Israel inakabiliwa na taathira za na operesheni ya "Kimbunga cha Al-Aqsa" na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anajaribu kuepuka uwajibikaji huku akijaribu kutupia lawama hii kubwa kwa wengine.

  • Kupanuliwa uhusiano wa Iran na Afrika ni changamoto kwa madola ya Magharibi

    Kupanuliwa uhusiano wa Iran na Afrika ni changamoto kwa madola ya Magharibi

    Apr 29, 2025 22:59

    Mkutano wa tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Iran na Afrika ulifanyika mjini Tehran wakati kivuli kizito cha sera za nchi za Magharibi dhidi ya Iran na Afrika kimeathiri mahusiano mengi ya kimataifa kati ya Iran na Afrika.

  • Safari ya siku moja ya Rais wa Iran nchini Azerbaijan

    Safari ya siku moja ya Rais wa Iran nchini Azerbaijan

    Apr 29, 2025 09:37

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amerejea Tehran baada ya ziara rasmi ya siku moja mjini Baku ambako alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev.

  • Trump, Rais wa Marekani anayechukiwa zaidi katika miaka 70 iliyopita

    Trump, Rais wa Marekani anayechukiwa zaidi katika miaka 70 iliyopita

    Apr 28, 2025 22:46

    Donald Trump, rais wa Marekani, alirejea kwa mara ya pili Ikulu ya White House akiwa na kiwango cha juu zaidi cha umaarufu tangu kuanza safari yake ya kisiasa. Hata hivyo, utafiti mpya wa mtandao wa habari wa Marekani, CNN, unaonyesha kuwa umaarufu wa Trump umeshuka hadi kiwango cha chini kabisa karibu na siku ya 100 ya kurejea kwake madarakani.

  • Afrika; Mshirika wa mkakati wa thamani kwa Iran

    Afrika; Mshirika wa mkakati wa thamani kwa Iran

    Apr 28, 2025 10:22

    Katika Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika, ulioanza katika Ukumbi wa Mikutano ya Wakuu wa Nchi za Kiislamu kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 38 na wajumbe 51 rasmi, Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, alisisitiza kuwa Iran iko tayari kushirikiana na nchi za Afrika kwa kuwezesha nchi za Afrika zinufaika mafanikio ya Iran katika sekta za afya, biashara, viwanda, kilimo, usalama, amani na utulivu.