-
Ni suluhu au ushindani wa kiuchumi? Kongo, Rwanda na maslahi ya kimkakati ya Marekani
Apr 27, 2025 22:52Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda wametia saini makubaliano ya kimsingi ya amani, kwa upatanishi wa Marekani.
-
Mjibizo wa OIC kwa hatua ya Marekani ya kuiondolea UNRWA kinga ya kisheria
Apr 27, 2025 06:15Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imesema, imesikitishwa na hatua ya Marekani ya kuliondolea kinga ya kisheria Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina UNRWA na kuitaka Washington iutafakari upya uamuzi wake huo na kurejesha ufadhili wake wa kifedha kwa shirika hilo.
-
Indhari na hatua mpya kuhusu vita vya ushuru vya Trump
Apr 26, 2025 22:56Indhari na radiamali mpya zimetolewa ndani ya Marekani na kimataifa kutokana na kuendelea vita vya ushuru vya Rais Donald Trump na madai yake katika uwanja huo.
-
Hatua mpya katika kuzidisha kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Russia
Apr 26, 2025 07:20Miamala ya kibiashara kati ya Iran na Russia inazidi kuongezeka katika nyanja mbalimbali za kiuchumi hususan katika sekta ya nishati na usafirishaji.
-
Kukiri kufeli operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Yemen
Apr 25, 2025 23:09Wiki kadhaa zimepita tangu Marekani ilipoanzisha operesheni kubwa na tata za kijeshi dhidi ya Yemen, huku kukiwa na mashambulizi ya mara kwa mara na mengi ya anga katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo, lakini hivi sasa vyombo vya habari vya Marekani vimekiri kushindwa utawala wa Trump katika operesheni zake za kujeshi huko Yemen.
-
Kutoweza Afrika Kusini kuachana na Muqawama na ukombozi wa Palestina
Apr 25, 2025 03:47Tarehe 29 Disemba 2023 imerekodiwa katika kumbukumbu za historia ya baada ya mwaka 1994 ya Afrika Kusini kama siku muhimu sana baada ya Pretoria kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama ya ICJ, ikiwasilisha hoja za kisheria za kina na zenye mashiko kwamba ukatili wa Israel katika Ukanda wa Ghaza unakanyaga Mkataba wa Kimataifa wa Kuzuia Mauaji ya Kimbari.
-
Kauli mbali mbali baada ya kifo cha Papa Francis
Apr 24, 2025 23:14Kufuatia kifo cha Papa Francis, baada ya miaka kumi na miwili usukani, macho ya vyombo vya habari na duru za kisiasa yameelekezwa tena kwa makao makuu ya Kanisa Katoliji, Vatican.
-
Kuendelea jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza mbele ya kimya cha wanaodai kutetea haki za binadamu
Apr 24, 2025 06:39Umoja wa Mataifa umesema kukwa umekumbwa na wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza na kutahadharisha kuwa eneo hilo linapitia katika hali ngumu sana tangu kuanza vita dhidi ya ukanda huo.
-
Kubadilika mtazamo wananchi wa Marekani kuhusu Israel, Palestina na Hamas
Apr 24, 2025 00:01Wakati vita vya Ghaza vinaendelea na utawala wa Kizayuni umeshadidisha mauaji ya wanawake na watoto wa Palestina, mtazamo na mwelekeo wa wananchi wa Marekani kuhusuu Israel, Palestina na Hamas nao unaendelea kubadilika. Haya yamebainika katika chunguzi mpya za maoni zilizofanywa nchini Marekani.
-
Umuhimu wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini China
Apr 23, 2025 06:33Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amewasili Beijing leo (Jumatano), Aprili 23, kwa ajili ya kukutana na kufanya mashauriano na viongozi wa China.