-
Kuendelea upinzani mkubwa dhidi ya mpango wa Trump kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza
Feb 16, 2025 10:21Katika muendelezo wa upinzani mkubwa dhidi ya mpango wa Trump wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Gaza, mbali na Waislamu, Wakristo pia wamepinga na kulalamikia mpango huo na kuonya dhidi ya matokeo yake mabaya.
-
Malengo maovu ya utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi
Feb 15, 2025 22:51Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza mashambulizi ya kinyama katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wito wa Hamas wa kuanzishwa harakati ya kimataifa ya kupinga mpango wa kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina
Feb 15, 2025 08:02Harakati ya Mapambano yya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa mataifa ya Kiarabu, Kiislamu na yaliyo huru duniani kujitokeza katika maandamano ya kupinga na kulaani mradi wa kuwaondoa kwa nguvu wananchi wa Palestina katika ardhi yao.
-
Utawala wa Kizayuni; muuaji wa 70% ya waandishi wa habari duniani
Feb 14, 2025 23:11Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari nchini Marekani sambamba na kutangaza kuwa, idadi kubwa ya waandishi wa habari waliuawa duniani kote mwaka jana imeeleza kwamba, utawala wa Kizayuni umehusika na mauaji ya takriban asilimia 70 ya waandishi hao.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kutimuliwa pia nchini Senegal
Feb 14, 2025 09:02Ufaransa na Senegal zimeeleza kuwa zimeamua kuunda tume ikiwa ni katika fremu ya maandalizi ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Malengo ya kisiasa na kiuchumi inayofuatilia Iran katika eneo la Amerika ya Latini
Feb 13, 2025 23:02Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Colombia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu wakitilia mkazo kupanuliwa na kustawishwa uhusiano baina ya pande mbili.
-
Kujipa Marekani hadhi ya kipekee; mtazamo haribifu wenye madhara kwa dunia na hata kwa Marekani yenyewe
Feb 13, 2025 04:21Kujiona Marekani nchi ya kipekee yenye hadhi na ubora kuliko mataifa mengine yote, ni sera ambayo imekuwa na matokeo hasi na yenye madhara kwa dunia na vilevile kwa Marekani yenyewe.
-
Jibu la Iran kwa matamshi ya kiuhasama na yasiyo ya kidiplomasia ya Rais wa Marekani
Feb 12, 2025 22:56Katika ujumbe wake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilijibu matamshi ya kiuhasam na yasiyo ya kidiplomasia ya Rais wa Marekani, Donald Trump.
-
Hatua za awali za kumaliza vita ya Ukraine na mustakabali usiojulikana
Feb 12, 2025 09:12Baada ya Russia kumuachilia mfungwa Mmarekani, kitendo ambacho Rais wa Marekani alikielezea kama juhudi ya kumaliza vita vya Ukraine, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, alitangaza kwamba yuko tayari kubadilishana ardhi na Russia.
-
Mpango wa Trump kwa ajili ya Gaza; njama za kuifuta Palestina
Feb 12, 2025 03:10Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria upinzani mkubwa wa nchi za eneo na kimataifa dhidi ya mpango haramu wa Rais wa Marekani kuhusu Gaza na kueleza kwamba, mpango huo wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Palestina kutoka Gaza kwa mujibu wa mpango wa kikoloni wa "kuifuta Palestina".