-
Kwa nini chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) inaongezeka nchini Uingereza?
Dec 28, 2024 23:19Takwimu zilizochapishwa hivi karibuni nchini Uingereza zinaonyesha ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu katika nchi hiyo.
-
Ushauri muhimu wa Araghchi kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Dec 28, 2024 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza katika ushauri wake kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu matukio ya Syria kuwa: ili kuondokana na kipindi hiki hahtari sana katika eneo hili, nchi zote zinapaswa kutumia busara, ushirikiano, kushirikishwa makundi yote, kuepuka migawanyiko na kutojali maslahi binafsi.
-
Malalamiko ya wananchi wa Pakistan kwa kuendelea ukosefu wa amani Parachinar
Dec 27, 2024 23:11Vyama na makundi ya kidini ya Waislamu wa Kishia yamefanya maandamano katika miji tofauti ya Pakistan ikiwemo ya Islamabad na Karachi kulaani na kulalamikia kuendelea ukosefu wa amani katika mji wa Parachinar na jinai zinazofanywa na magenge ya kigaidi na ya ukufurishaji katika eneo hilo.
-
Silaha za biolojia za Marekani barani Afrika
Dec 27, 2024 07:38Wizara ya Ulinzi ya Russia imefichua nyaraka zinazoonyesha kuwa Marekani imeongeza shughuli zake za silaha za kibiolojia katika bara la Afrika.
-
Mielekeo tofauti inayoonyeshwa na nchi za Ulaya kuhusiana na jinai za Wazayuni inaashiria nini?
Dec 26, 2024 23:30Wakati Waziri Mkuu wa Ireland Simon Harris amesisitiza kwa mara nyingine tena mshikamano wa nchi yake na Palestina na kuyataja mauaji ya Wapalestina kuwa ni "utovu wa hisia za dhamiri na janga la kibinadamu", mkabala na matamshi hayo, serikali ya Ujerumani imetoa kibali cha kusafirisha na kuipelekea silaha Israel.
-
Hamaki ya Tel Aviv dhidi ya matamshi ya Papa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni
Dec 26, 2024 10:08Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imemwita balozi wa Vatican katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa ajili ya kusailiwa. Ni baada ya Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani kukosoa vita na mauaji ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kupanuka kundi la BRICS baada ya kujiunga nchi nyingine 13
Dec 26, 2024 00:41Kundi la BRICS linaendelea kupanuka baada ya nchi nyingine 13 kujiunga na kundi hilo kama "washirika" kuanzia mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka huu.
-
Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama baada ya Israel kukiri ilihusika na mauaji ya Ismail Haniyeh
Dec 25, 2024 08:37Amir Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa jana Jumanne alimwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisisitiza kwamba, Israel imebeba dhima ya kuhusika na mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh, mkuu zamani wa Idara ya Siasa ya harakati ya Hamas.
-
Kuangushwa ndege ya kivita ya Marekani ya F-18 ni ishara ya kuchanganyikiwa katika mashambulizi ya Yemen
Dec 25, 2024 00:06Kuangushwa kwa ndege ya kivita ya F-18 ya Marekani katika shambulio la angani la hivi karibuni nchini Yemen, kumepelekea kuibuke shaka kuhusu uwezo wa Marekani wa kudhibiti anga ya Marekani na uwezo wake wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora na ndege za kivita zisizo na rubani kutoka Yemen.
-
Trump analenga kunyakua ardhi za wengine ili kupanua ukubwa wa Marekani
Dec 24, 2024 09:56Wakati bado Donald Trump hajaweka mguu wake kwa mara ya pili kwenye kiti cha urais wa Marekani, ameonesha mipango yake ya kupanua ardhi ya Marekani kwa kunyakua maeneo ya wengine.