Uchambuzi
  • Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Jan 11, 2025 23:09

    Sambamba na kuendelea mashambulizi ya jeshi la Israel dhidi ya watu wa Gaza, baridi kali pia imezidisha idadi ya watoto wanaoaga dunia hasa watoto wachanga katika ukanda huo.

  • Moto wa Los Angeles; Ishara ya uzembe wa serikali ya Marekani

    Moto wa Los Angeles; Ishara ya uzembe wa serikali ya Marekani

    Jan 11, 2025 07:14

    Mji wa Los Angeles katika jimbo la California, Marekani, umekuwa ukiteketea kwa moto usiozuilika kwa siku kadhaa sasa katika msimu wa baridi kali na kuwaacha maelfu ya watu bila ya makazi. Moto huo pia umesababisha hasara na uharibifu mkubwa unaotajwa kuwa ni wa aina yake katika historia ya majanga nchini Marekani.

  • Bajeti ya NATO; changamoto nyingine kwa waitifaki wa pande mbili za Antlantiki

    Bajeti ya NATO; changamoto nyingine kwa waitifaki wa pande mbili za Antlantiki

    Jan 10, 2025 23:26

    Baada ya Donald Trump kutaka kuunganishwa Canada, Mfereji wa Panama na eneo la Greenland na ardhi ya Marekani, sasa suala la kuongeza bajeti ya nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) ni changamoto kuu zaidi inayowatatiza washirika wa pande zote mbili za Bahari ya Atlantiki.

  • Maana ya ushirikiano mpya wa Iran na Russia kwa ulimwengu

    Maana ya ushirikiano mpya wa Iran na Russia kwa ulimwengu

    Jan 10, 2025 09:14

    Chombo kimoja cha habari cha Russia kimetathmini ushirikiano wa Iran na Russia na kuandika: Makubaliano ya pamoja ya kistratejia ni hatua muhimu katika kuimarika muungano kati ya mataifa haya mawili.

  • Mafanikio ya kiusalama ya al Hashdul Shaabi katika mapambano dhidi ya ISIS

    Mafanikio ya kiusalama ya al Hashdul Shaabi katika mapambano dhidi ya ISIS

    Jan 09, 2025 22:57

    Wakati Marekani ikijaribu kuzidisha mashinikizo kwa serikali ya Iraq ili kusitisha shughuli za vikosi vya wapiganaji wa kujitolea vya wananchi maarufu kama al Hashdul Shaabi, vyanzo vya usalama katika jimbo la Anbar nchini humo vimeripoti kwamba, vikosi vya wapiganaji hao vimefanikiwa kuizima harakati mpya ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

  • Majibu ya nchi mbalimbali kwa madai yasiyo na msingi ya Trump kuhusu kuinyakua Greenland

    Majibu ya nchi mbalimbali kwa madai yasiyo na msingi ya Trump kuhusu kuinyakua Greenland

    Jan 09, 2025 09:23

    Baada ya Rais mteule wa Marekani, Donald Trump kusisitiza madai yake ya kutaka kunyakua maeneo Canada, Panama na Greenland, na hatua zake, ikiwa ni pamoja na kumtuma mtoto wake wa kiume huko Greenland kuandaa mazingira ya unyakuzi huo, nchi hizo zimetoa majibu makali dhidi ya hatua ya Trump.

  • Ni upi msimamo wa Iran kuhusu mfumo wa kisiasa na usalama nchini Syria?

    Ni upi msimamo wa Iran kuhusu mfumo wa kisiasa na usalama nchini Syria?

    Jan 08, 2025 23:06

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza tena umuhimu wa kuheshimiwa chaguo la wananchi wa Syria na kupinga uingiliaji wa pande za kimataifa katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • Chad yakosoa ubabe na ukoloni wa Ufaransa

    Chad yakosoa ubabe na ukoloni wa Ufaransa

    Jan 08, 2025 12:07

    Kufuatia kauli za Rais wa Ufaransa kwamba nchi za Afrika zimesahau kuishukuru Paris kwa kushiriki katika kile anachosema ni 'mapambano dhidi ya ugaidi' katika eneo la Sahel, Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad amekosoa maneno hayo na kuyalaani.

  • Mashtaka dhidi ya askari wa Kizayuni duniani

    Mashtaka dhidi ya askari wa Kizayuni duniani

    Jan 07, 2025 23:05

    Kufuatia kutoroka askari wa jeshi la Kizayuni kutoka Brazil na kuwasilishwa malalamiko na mashtaka mengi katika nchi zisizopungua 10 za dunia, kumewekwa mbinyo wa safari za nje za askari wa Kizayuni na shughuli zao katika mitandao ya kijamii.