-
Uongozi wa Imam Khomeini (RA) na athari zake katika kufanikiwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Jan 31, 2025 13:32Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Radio Tehran katika mfululizo wa vipindi vyetu vya Alfajiri Kumi na hiki ni kipindi chetu cha kwanza katika kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 27
Jan 27, 2025 08:37Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa…..
-
Ni yepi malengo ya mradi wa "Sesame Street" katika nchi za Kiislamu?
Jan 23, 2025 16:53Hamjambo na karibuni katika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitaangazia malengo ya ya mradi wa "Sesame Street" katika nchi za Kiislamu na Kiarabu...
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 20
Jan 20, 2025 10:54Karibu kwenye kipindi chako hiki kinachoangazia baadhi ya matukio makubwa na muhimu ya michezo kutoka kona mbali mbali za dunia ndani ya juma moja lililopita...
-
Maelfu waandamana Washington dhidi ya Trump kabla ya kuapishwa tena kuwa rais wa Marekani
Jan 19, 2025 11:21Makumi ya maelfu ya Wamarekani wameandamana katika mji mkuu Washington dhidi ya rais mteule Donald Trump anayetazamiwa kuapishwa kesho Jumatatu.
-
Ulimwengu wa Michezo Januari 13, 2025
Jan 18, 2025 07:18Karibuni wapenzi wa spoti katika dakika hizi chache za kutupia jicho habari mbalimbali za Ulimwengu wa Michezo. Huenda leo kipindi chetu kikaangalia engo tofauti na tulivyoizoea ya michezo. Lakini pia tutavinjari kwenye viwanja mbalimbali vya spoti kama pale nyasi zilipowaka moto kwenye uwanja wa Gombani, mkoa wa Kusini Pemba katika mashindano ya Mapinduzi Cup, lakini zaidi tutajikita zaidi kwenye engo mpya kidogo. Mtayarishaji na msimulizi wako wiki hii ni mimi Ahmed Rashid.
-
Kama si Iran, nani atakayeunusuru ulimwengu na shari ya wazi na iliyojificha ya Israel?
Jan 10, 2025 07:28Kwa miaka mingi sasa Israel imekuwa ikitekeleza sera za ardhi iliyochomwa (scorched-earth policy) katika eneo la Asia Magharibi. Kuanzia mashambulizi yasiyosita katika Ukanda wa Gaza na mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina hadi kuwauwa kigaidi wasomi wa nyuklia wa Iran na mashambulizi ya anga dhidi ya Syria, ni sehemu ya sera za Israel ambazo zimejikita katika kueneza vita na hali ya mchafukoge.
-
Mzayuni mwenye misimamo mikali atupwa nje ya ndege baada ya kuivunjia heshima Palestina + Video
Jan 07, 2025 13:35Abiria wa kiyahudi mwenye misimamo ya kufurutu ada amefukuzwa na kushushwa kwenye ndege ya shirika la ndege la American Airlines baada ya kuvunjia heshima nembo ya mshikamano na Wapalestina.
-
Kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Qassem Soleimani
Jan 03, 2025 11:51Shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimanim aliuawa tarehe 3 Januari 2020 kwa ndege ya kivita ya jeshi la kigaidi la Marekani akiwa safarini nchini Iraq kwa mwaliko rasmi wa waziri mkuu wa nchji hiyo. ****
-
Yemen yayatwanga tena kwa makombora maeneo kadhaa ya Israel + Video
Dec 24, 2024 06:52Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza kuwa, mapema leo Jumanne kumesikika sauti za miripuko mikubwa mjini Tel Aviv na kwenye maeneo mengine ya katikati mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.