-
Dua ya siku ya tano ya Ramadhani
Mar 27, 2023 12:15Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya tano ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina yakosoa kikao cha Sharm Sheikh
Mar 21, 2023 11:13Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina imekitaja kikao cha Sharam Sheikh nchini Misri kuwa hatua ya hiana dhidi ya taifa la Palestina na usaliti dhidi ya damu iliyomwagwa na mashahidi wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Ulaya mwaka 2022 iliingiza silaha maradufu
Mar 14, 2023 02:08Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Amani imetangaza kuwa mwaka jana wa 2022 Ulaya ilipokea silaha maradufu; hatua inayoashiria kupatiwa Ukraine shehena kubwa ya silaha kwa kisingizio cha vita vinavyoendelea nchini humo.
-
Matukio ya Kiislamu wiki hii na Harith Subeit + Sauti
Mar 04, 2023 03:54Matukio ya Kiislamu wiki hii yamejumuisha maeneo tofauti ya Afrika Mashariki na Kati. Yameandaliwa na mwandishi wetu Harith Subeit. Ingia kwenye Sauti kusikiliza ripoti hiyo iliyo na matukio tofauti ya Kiislamu wiki hii.
-
Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yafunguliwa rasmi mjini Tehran
Feb 19, 2023 05:02Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumamosi alasiri mjini Tehran.
-
Kan'ani: Utawala haramu wa Israel hauna ubavu wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Iran
Feb 13, 2023 12:48Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala haramu wa Israel hauna uwezo wala ubavu wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Iran.
-
Jeshi la Anga la Iran lazindua kituo cha siri cha ndege chini ya ardhi
Feb 08, 2023 04:42Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuzindua kituo cha ndege kilicho chini ya ardhi ambacho kimepewa jina la "Oqab 44" (Tai 44).
-
Mamia wapoteza maisha katika mtetemeko mkubwa wa ardhi Uturuki, Syria + Video
Feb 06, 2023 08:06Mtemtemeko mkubwa wa ardhi umetikisa maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria na kuua watu wasiopungua 400 huku idadi ya waliopoteza maisha ikitazamiwa kuongezeka.
-
Qalibaf: Umoja kati ya nchi za Kiislamu ndilo tukio muhimu lililojiri kwenye kikao cha muungano wa mabunge ya Kiislamu
Feb 05, 2023 07:58Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema: kupatikana umoja wa nchi za Kiislamu ndilo tukio muhimu lililojiri katika kikao cha muungano wa mabunge ya Kiislamu nchini Algeria.
-
Biden aboronga tena: "Zaidi ya nusu ya wanawake katika utawala wangu ni wanawake"
Feb 05, 2023 07:46Rais Joe Biden wa Marekani kwa mara nyingine ameboronga katika hotuba zake kwa kusema: "nusu ya wanawake katika baraza langu la mawaziri ni wanawake".