-
Jimmy Dore: Marekani ndio gaidi mkubwa zaidi duniani
Feb 05, 2023 02:35Msanii mashuhuri wa filamu za kuchekesha wa Marekani ameitaja nchi yake kuwa ndio gaidi mkubwa zaidi duniani.
-
Amir-Abdollahian: Shambulio katika ubalozi wa Jamhuri ya Azerbaijan halikuwa la kigaidi
Jan 28, 2023 03:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekanusha vikali kwamba shambulio dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Azerbaijan lilikuwa la kigaidi na akasema: "hatua hii imechochewa na sababu za kibinafsi tu".
-
Mamilioni ya wananchi wa Sudan waandamana dhidi ya serikali ya kijeshi
Jan 18, 2023 08:36Mamilioni ya wananchi wa Sudan wameandamana Khartoum mji mkuu wa Sudan kwa mwaliko wa kamati ya uratibu wa mapambano katika maandamano yaliyopewa jina la "Tumechoka".
-
VIDEO: Siku ambayo Iran ilishambulia kwa makombora kambi ya kijeshi ya Marekani huko Ain al-Asad
Jan 08, 2023 06:56Leo tarehe 8 Januari ni siku ambayo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (Sepah) lilishambulia kwa makombora kambi ya jeshi la Marekani ya "Ain al-Asad" nchini Iraq, shambulio ambalo liliakisiwa sana na vyombo vya habari vya kieneo na kimataifa.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya Zulfiqar; Dhihiriso la Nguvu za Kujihami za Iran + VIDEO
Jan 01, 2023 10:16Kwa mujibu wa desturi ya kila mwaka ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mazoezi ya pamoja ya Zulfiqar yamefanyika kusini mashariki na katika pwani ya Makran.
-
Mvua kali na mafuriko katika majimbo ya Makka na Jeddah Saudia
Dec 24, 2022 06:26Mafuriko makubwa yaliukumba mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia siku ya Ijumaa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, kuharibu magari na mali katika mji huo.
-
Pigo jingine kwa Wazayuni, Morocco yasherehekea kwa bendera ya Palestina, kupanda Kombe la Dunia + Video
Dec 02, 2022 08:01Katika hali ambayo serikali ya Morocco imetangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel, wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu na ya Waislamu, wamezidi kuonesha kutokubaliana na uamuzii huo wa utawala wa kifalme wa Morocco.
-
Raisi: Adui ajue kuwa hana nafasi katika nyoyo za wananchi wa Iran + Video
Dec 01, 2022 13:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba hawana na hawatakuwa na nafasi katika nyoyo za watu wa Iran kwa sababu utamaduni wa kujitolea mhanga na muqawama umekita mizizi miongoni mwa Wairani.
-
Watu 7 hadi 10 kati ya kila watu 100 wana matatizo ya figo Tanzania + SAUTI
Nov 25, 2022 02:31Takwimu zinaonesha kuwa, watu saba hadi kumi kati ya watu 100 wanasumbuliwa na ugonjwa figo nchini Tanzania. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar
-
Viongozi wa Tanzania watakiwa kutoa uhuru wa kisiasa + SAUTI
Nov 21, 2022 02:21Viongozi Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wametakiwa kuhakikisha harakati za kisiasa zinafanyika katika mazingira ya uhuru na haki nchini humo. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.