-
Iran, Russia na China kushiriki katika maneva ya kijeshi ya baharini
Sep 22, 2022 23:13Mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa majeshi ya Iran, Russia na China yataendesha maneva ya pamoja ya kijeshi ya baharini.
-
Rais Raisi: Ahul Bayt AS ni siri ya Umoja wa Kiislamu
Sep 01, 2022 06:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ahul Bayt AS- yaani watu wa nyumba ya Mtume Muhammad SAW, ni ufunguo wa Umoja wa Kiislamu na chimbuko la matumaini katika jamii ya mwanadamu.
-
Sisitizo la Iran katika kuimarisha uhusiano na Tanzania
Aug 24, 2022 22:46Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliwasili nchini Tanzania Jumatano usiku na kusema kwamba kunatayarishwa ramani ya njia kuhusiana na kuimarisha uhusiano wa Iran na Tanzania ili mchakato huo uchukue mkondo wa kasi.
-
Wasudani: Njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan ni kuachia ngazi watawala wa kijeshi
Aug 20, 2022 03:18Upinzani dhidi ya utawala wa kijeshi nchini Sudan unaendelea ambapo waandamanaji wanasisitiza kuwa, njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo ni kuachia ngazi utawala wa kijeshi unaoongozwa na Jenerali Abdul-Fatah al-Burhan
-
Maombolezo ya siku ya Ashura nchini Kenya
Aug 08, 2022 07:14Waislamu wa madhehebu ya Shia mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya, wameshiriki katika hafla ya maombolezo ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussain (AS) katika siku ya Ashura.
-
Raisi: Mahudhurio ya wananchi katika medani ndio nguzo kuu ya nguvu na usalama wa taifa
Jul 28, 2022 10:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba mahudhurio na kushiriki wananchi katika nyanja mbalimbali za maendeleo ya taifa ndio sehemu muhimu zaidi ya nguvu ya kitaifa na usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis
Jun 01, 2022 05:38Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumkabidhi ujumbe wa maneno kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yazindua kituo cha chini ya ardhi cha ndege za kivita zisizo na rubani
May 28, 2022 23:25Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi chenye idadi kubwa ya ndege za kisasa za kivita zisizo na rubani.
-
Spika: Siku ya Nakba inakumbusha uvamizi, mauaji ya kimbari, ukatili na jinai za Wazayuni
May 15, 2022 03:39Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran, Bunge amesema: Siku ya Nakba inakumbusha uvamizi, mauaji ya kimbari, ukatili na jinai za Wazayuni.
-
Rais wa Zanzibar awataka Waislamu kuendeleza yote waliyonufaika nayo ndani ya Ramadhani
May 03, 2022 11:09Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, al Hajj Hussein Ali Hassan Mwinyi amewataka Waislamu kuendeleza yote mazuri waliyojifunza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.