-
SAUTI: Wapiganaji magaidi kutoka Kongo DR waliovamia kambi ya jeshi la Uganda, UPDF na kutenda jinai, watiwa mbaroni 25 kati yao
Mar 09, 2020 12:56Wapiganaji 25 kutoka kundi linalotambuliwa na serikali ya Uganda kuwa la kigaidi wametiwa mbaroni na jeshi la nchi hiyo UPDF karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongoa.
-
Askari wa Uturuki wakimbia kwa makundi katika viunga vya Idlib, Syria + Video
Mar 04, 2020 09:54Kufuatia mashambulizi makali ya anga na mizinga ya jeshi la Syria dhidi ya maeneo ya jeshi la Uturuki katika viunga vya mkoa wa Idlib, askari wa Uturuki wameonekana wakikimbia kwa makundi katika maeneo hayo.
-
SAUTI, Nzige wavamia mkoa wa Ituri Kongo DR, wakazi wake washikwa na butwaa kwa uharibifu
Feb 27, 2020 12:18Wakazi wa mkoa wa Ituri, kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamepatwa na hali ya wasi wasi mkubwa kufuatia kuvamiwa na kundi kubwa la nzige ambao wanaonekana kushambulia kila mmea wa eneo hilo.
-
SAUTI, Wapinzani nchini Uganda walikosoa jeshi la polisi kwa kufanya upendeleo na zuia mikutano yao
Feb 24, 2020 12:49Wapinzani nchini Uganda wanalilalamikia jeshi la polisi nchini humo kwa hatua yake ya kuwazuia kufanya mikutano yao ya kisiasa.
-
SAUTI, Tume ya Kuandaa Uchaguzi nchini Burundi CENI yafungua milango kupokea fomu za wagombe
Feb 24, 2020 11:19Tume ya Kuandaa Uchaguzi nchini Burundi CENI imetangaza utaratibu unaotakiwa kufuatwa na wagombea uchaguzi katika nafasi tofauti.
-
SAUTI, Wakazi wa Kinshasa waandamana kuliunga mkono jeshi la Kongo DR, huku wakilitaka liache kuwatesa raia
Feb 23, 2020 12:26Wakazi wa mji wa Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamefanya maandamano makubwa ya kuliunga mkono jeshi la nchi hiyo katika juhudi zake za kukabiliana na wanamgambo wa kigeni na wale wa ndani wanaotekeleza jinai ndani ya ardhi ya taifa hilo.
-
Kiongozi Muadhamu ashiriki uchaguzi wa Bunge na wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu + Video
Feb 21, 2020 03:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi, amepiga kura katika dakika za awali kabisa za kuanza zoezi la upigaji kura za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi mdogo wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu Wanaomchagua na Kusimamia Kazi za Kiongozi Muadhamu.
-
Msemaji wa Jeshi: Anga ya Yemen si salama tena kwa ndege za kivita za Saudia + Video
Feb 21, 2020 03:12Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema kuwa, sasa ndege za kivita za wavamizi wa nchi hiyo hasa Saudi Arabia hazina usalama tena katika anga ya Yemen baada ya kuzinduliwa mifumo mipya ya ulinzi wa anga wa nchi hiyo.
-
Tume ya Uchaguzi Burundi CENI yakutana na wapiga kura wa jamii ya mbilikimo + Sauti
Feb 18, 2020 07:52Tume ya Uchaguzi Burundi CENI, imekutana na wajumbe wa mashirika ya kiraia ya watu wajamii ya mbilikimo ili kuwahamasisha wateue wagombea watakaowawakilisha katika uchaguzi wa bunge na seneti. Ceni imewaongezea mbilikimo hao muda wa siku 5 kwenye kalenda ya siku zilopangwa za kuhakikisha zoezi hilo limekamilika. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Burujumbura Burundi
-
Wilaya nyingine 15 zavamiwa na nzige nchini Uganda + Sauti
Feb 18, 2020 07:47Janga la nzige limezidi kuwa tishio barani Afrika huku wizara ya kushughulikia majanga nchini Uganda ikisema kuwa, wilaya nyingine 15 zimevamiwa na wadudu hao nchini humo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala