-
Kagame: Siwezi kuwavumilia wezi na watu wasio na nidhamu serikalini + Sauti
Feb 18, 2020 07:43Wiki moja baada ya kuwafuta kazi mawaziri wake watatu, Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kwa mara nyingine tena kwamba hatavumilia hata kidogo viongozi wasio na nidhamu katika serikali yake. Ndani ya wiki moja tu Rais Paul Kagame amewafuta mawaziri watatu kutokana na makosa ya ulaji rushwa, udanganyifu pamoja na ukosefu wa nidhamu mbele ya wananchi. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi
-
UN yaumizwa na mauaji ya kiholela nchini Cameroon + Sauti
Feb 18, 2020 07:31Umoja wa Mataifa na asasi za kijamii nchini Cameroon zimeelezea kusikitishwa na mauaji ya kiholela ya watu zaidi ya 25 ambao taarifa zinasema kwamba wameuliwa nchini humo na watu waliokuwa wamevaa magwanda ya kijeshi. Mossi Mwasi na maelezo zaidi
-
Balozi Kairuki: Serikali Haitawarudisha Tanzania wanafunzi walioko China + Sauti
Feb 12, 2020 09:20Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema wanafunzi wanaosoma katika mji wa Wuhan hawawezi kurudi kwa sababu kuna katazo la kutoingia wala kutoka kwenye mji huo kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
SAUTI, EAC: Tutatuma waangalizi wa uchaguzi nchini Burundi, pia yaipongeza serikali ya Bujumbura kwa maandalizi mazuri
Feb 11, 2020 04:07Jumuia ya Afrika imepanga kuwatuma waangalizi wake kwa ajili ya kufuatilia zoezi la uchaguzi ujao nchini Burundi.
-
Jumuiya ya Mabunge ya Kiarabu: Hakuna kufanya mapatano yoyote na utawala haramu wa Israel + Video
Feb 09, 2020 04:47Kikao cha dharura cha Jumuiya ya Mabunge ya Kiarabu kimesisitiza upinzani wake dhidi ya nchi za Kiarabu kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mgawanyiko kileleni Marekani, Pelosi aichana hotuba ya kila mwaka ya Trump + Video
Feb 05, 2020 04:28Mgawanyiko mkubwa umedhihirika katika uga wa kisiasa Marekani wakati Rais Donald Trump wa nchi hiyo alipokuwa akitoa hotuba ya kila mwaka mbele ya Bunge la Kongresi huku mchakato wa kumuondoa madakarani ukikaribia kumalizika.
-
Rais wa zamani wa Kenya, Arap Moi ameaga dunia
Feb 04, 2020 01:19Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza mapema leo Jumanne kwamba, RAIS Mstaafu wa nchi hiyo, Daniel Toroitich Arap Moi, 1924 – 2020, amefariki dunia.
-
SAUTI, Majina ya wagombea wanaotaka kumrithi Rais Nkurunziza nchini Burundi, yawekwa wazi
Feb 03, 2020 12:53Wagombea 10 wa kiti cha urais katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika tarehe 20 Mei mwaka huu, tayari wamefamika.
-
Makumi wapoteza maisha wakigombania 'mafuta ya upako' Tanzania + Sauti
Feb 02, 2020 00:13Kwa akali watu 20 wameaga dunia katika mkanyagano wa harakati za kutaka kukanyaga 'mafuta ya upako' kwenye kongamano la 'Mtume' Boniface Mwaiposa lililofanyika uwanja wa Majengo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kaskazini mashariki mwa Tanzania jioni ya jana Jumamosi.
-
Waislamu Kenya waadhimisha Siku ya Vazi la Hijab Duniani + Sauti
Feb 01, 2020 12:17Vyama vya Kiislamu nchini Kenya vimehimizwa kushadidisha hamasa juu ya vazi la hijab miongoni mwa Waislamu kama njia pekee ya kukinusuru kizazi cha Kiislamu dhidi ya sheria dhalimu zinazomkandamiza binti wa Kiislamu. Mwito huo umetolewa sanjari na maadhimisho ya Siku ya Vazi la Hijab Duniani ambayo huadhimishwa Februari Mosi kila mwaka. Seifullah Muurtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.