UN yaumizwa na mauaji ya kiholela nchini Cameroon + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i59231-un_yaumizwa_na_mauaji_ya_kiholela_nchini_cameroon_sauti
Umoja wa Mataifa na asasi za kijamii nchini Cameroon zimeelezea kusikitishwa na mauaji ya kiholela ya watu zaidi ya 25 ambao taarifa zinasema kwamba wameuliwa nchini humo na watu waliokuwa wamevaa magwanda ya kijeshi. Mossi Mwasi na maelezo zaidi
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 18, 2020 07:31 UTC