-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaendelea katika miji tofauti duniani
May 01, 2024 03:20Wananchi wa miji tofauti ya dunia kwa mara nyingine wameandamana kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina na kulaani jinai za utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Watu watatu wauawa kwa kupigwa risasi katika jimbo la North Carolina Marekani
Apr 30, 2024 03:51Watu watatu wameuawa katika ufyatuaj risasi uliotokea katika jimbo la North Carolina nchini Marekani.
-
Qur'ani yavunjiwa tena heshima nchini Sweden
Apr 30, 2024 00:21Mtu mwenye msimamo mikali nchini Sweden amekivunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho.
-
Abbas: Utawala wa Kizayuni umeangamiza asilimia 75 ya Ukanda wa Gaza
Apr 28, 2024 23:07Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeangamiza asilimia 75 ya nyumba, miundombinu ya barabara, vyuo vikuu, misikiti na miundo msingi mingine ya Ukanda wa Gaza.
-
Mgombea wa uchaguzi wa rais Marekani atiwa nguvuni katika maandamano ya watetezi wa Palestina
Apr 28, 2024 23:06Polisi nchini Marekani imemtia nguvuni mgombea wa kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka huu nchini humo ambaye alikuwa katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Washington.
-
Raisi: Iran ina ubunifu katika nyanja mbalimbali kwa ajili ya dunia
Apr 27, 2024 09:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika sherehe za ufunguzi wa maonyesho ya sita ya uwezo wa mauzo ya nje ya bidhaa za Iran (Iran Expo 2024) kwamba maonesho haya yanaonyesha kuwa Iran haiwezi kuwekewa vikwazo na ina uwezo wa kufanya uvumbuzi katika nyanja mbalimbali.
-
UN: Ufanyike uchunguzi kuhusu makaburi ya halaiki huko Gaza + Video
Apr 24, 2024 04:42Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu makaburi ya umati yaliyogunduliwa katika hospitali kuu mbili za Ukanda wa Gaza.
-
Rais wa Iran awasili Pakistan katika ziara ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara na usalama
Apr 22, 2024 03:12Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad katika ziara rasmi ya kikazi yenye lengo la kuimarisha usalama na uhusiano wa kibiashara kati ya nchi mbili.
-
Hizbullah yatungua ndege ya kivita isiyo na rubani ya Israel ya Hermes 450 kusini mwa Lebanon + VIDEO
Apr 22, 2024 01:01Harakati ya Mapamabano ya Kiislamu (Muqawama) ya Hizbullah ya Lebanon imesema wapiganaji wake wameiangusha ndege ya kisasa isiyo na rubani ya kivita na kijasusi ya utawala haramu wa Israel kusini mwa Lebanon baada ya kukiuka anga ya nchi hiyo.
-
Iran: Marekani ilikuwa na taarifa kuhusu Operesheni ya Ahadi ya Kweli ya kuutia adabu utawala wa Israel
Apr 18, 2024 04:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu iliikuwa imeshaitaarifu serikali ya Marekani kabla ya kutekeleza Operesheni ya Ahadi ya Kweli ya kuutia adabu utawala wa Israel mfanyamauaji ya kimbari.