-
Utawala wa Kizayuni unaficha kikamilifu hasara za mashambulio ya makombora ya Iran
Apr 14, 2024 11:11Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vinazikanusha picha na mikanda ya video inayosambazwa na vyombo kadhaa vya habari, ikionyesha maeneo tofauti ndani ya utawala huo yaliyolengwa na makombora ya Iran ikiwa ni kufuata na kutekeleza sera ya habari ya baraza la mawaziri la vita la utawala huo haramu.
-
Wananchi wa Iran, duniani wajitokeza mitaani kuunga mkono hatua ya IRGC kuiadhibu Israel
Apr 14, 2024 07:39Wananchi konte nchini Iran wamejitokeza mitaani kuunga mkono hatua ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ya kuuadhibu utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia kitendo chake cha kichokozi cha kutekeleza mashambilizi ya kigaidi dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran jijini Damascus Aprili Mosi.
-
Khalid Mash'al: Karibuni hivi, vita vya miezi sita vitamvunja adui Mzayuni
Apr 14, 2024 02:31Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya ughaibuni ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS Khaled Mash'al, amepongeza istiqama ya kishujaa ya Ukanda wa Ghaza na kusisitiza kuwa vita vya miezi sita wanavyopigana Wapalestina na utawala wa Kizayuni wa Israel "karibuni hivi vitamvunja adui Mzayuni".
-
Makombora ya kisasa ya Iran ambayo Israel inayaogopa
Apr 13, 2024 06:09Klipu hii ina maelezo ya makombora tisa ya kisasa kabisa ya Iran yenye usahihi wa hali ya juu ambayo yameuingiza woga utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki
Apr 09, 2024 02:20Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa, nchi yake itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki utakaofanyika mwezi ujao wa Mei.
-
Waislamu DRC ni waungaji mkono wa Quds na kadhia nzima ya Palestina + Video
Apr 04, 2024 11:38Masheikh wawili maarufu wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamezungumzia umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds na uungaji mkono wa Waislamu wa nchi hiyo kwa kadhia nzima ya Palestina hususan Ghaza.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na Gaza yafanyika katika nchi mbalimbali
Mar 31, 2024 11:28Wananchi huko Italia, Norway, Marekani, Japan na Morocco kwa mara nyingine tena wameandamana kulaani mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina yanayofanywa na wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Israel lakiri kuwaua na kuwazika Wapalestina wawili kwa tingatinga
Mar 30, 2024 06:04Televisheni ya CNN ya Marekani imenukuu taarifa ya jeshi la Israel likikiri kuwaua Wapalestina wawili na kufukia miili yao kwa kutumia tingatinga, baada ya televisheni ya Al Jazeera ya Qatar kurusha hewani kipande cha video kinachoonyesha undani wa mauaji hayo.
-
Wairani wawaenzi mashahidi wa Kipalestina katika hafla ya makumi ya maelfu
Mar 28, 2024 02:18Zaidi ya Wairani 100,000 wamehudhuria sherehe kubwa ya kidini katika uwanja wa michezo wa Azadi ambapo kati ya mambo mengine wamewaenzi mashahidi Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Kijana, Islam, aliyeokoa watu zaidi 100 katika hujuma ya kigaidi ya Moscow apewa nishani ya ushujaa
Mar 25, 2024 02:12Kijana Muislamu mwenye umri wa miaka 15 aliyeokoa zaidi ya watu mia moja wakati wa hujuma ya kigaidi kwenye ukumbi wa tamasha wa Crocus City Hall nje kidogo ya jiji la Moscow, siku ya Ijumaa iliyopita, ametunukiwa nishani ya ushujaa.