-
Mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu Gaza: Israel lazima ikomeshe mauaji ya kimbari
Jan 24, 2024 09:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanyika kuhusu suala la vita vya Gaza ambapo mawaziri wa mambo ya nje wa nchi mbalimbali wamekosoa uungaji mkono wa Marekani kwa jinai zinazofanywa na Israel, wakisisitiza udharura wa kusitishwa mauaji ya kimbari dhidi ya Palestina.
-
Yemen: Mashambulizi ya US na UK hayatotuzuia kuliunga mkono taifa la Palestina + VIDEO
Jan 12, 2024 10:35Msemaji wa majeshi ya Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Sarii amesema kuwa, mashambulizi ya kiuadui ya Marekani na Uingereza hayatobadilisha msimamo wa Yemen wa kuliunga mkono taifa la Palestina ikiwemo Ghaza na kwamba uadui huo uliofanyika mapema leo Ijumaa dhidi ya Yemen hautoachwa vivi hivi bila ya majibu na kuadhibiwa madola hayo ya kibeberu.
-
Wananchi wa Nigeria na Ghana wamuenzi Luteni Jenerali Qassim Suleimani + Video na Picha
Jan 08, 2024 03:48Kumbukumbu za kutimia mwaka wa nne tangu kuuliwa shahidi Luteni jenerali Shahidi Qassim Suleiman zimefanyika katika miji mikuu ya Nigeria na Ghana yaani huko Abuja na Accra kwa kuhudhuriwa na Waislamau wa matabaka mbalimbali na wafuasi wa kamanda huyo.
-
Maelfu washiriki kwenye maandamano ya Morocco ya kuunga mkono Palestina
Dec 25, 2023 06:30Maelfu ya watu nchini Morocco wamefanya mojawapo ya maandamano makubwa zaidi ya kuunga mkono Palestina mjini Rabat, tangu kuzuka kwa vita vya Gaza, wakati wakiitisha kuvunjwa kwa mahusiano kati ya taifa lao na Israel.
-
Kampuni ya Ufaransa ya AGL yalalamikiwa kwa kutowajibika Bandarini Zanzibar + SAUTI
Dec 02, 2023 11:06Uamuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa kuikabidhi shughuli za uendeshaji wa Bandari ya Malindi kampuni ya Ufaransa ya AGL kwa lengo la kuongeza ufanisi katika bandari hiyo hauonekani kuzaa matunda yaliyokusudiwa kutokana na kampuni hiyo ya nchi ya Ulaya kulalamikiwa vikali.
-
Sh. Stambuli Abdillahi Nassir: Hakuna matarajio ya hatua za maana kutoka kwa mataifa ya Kiarabu kuhusu Palestina +SAUTI
Nov 13, 2023 14:41Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kutekeleza mauaji ya kimbari huko Gaza Palestina huku asasi zote muhimu za kimataifa likiwemo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikishindwa kusitisha unyama huo wa Israel.
-
Wananchi wa Kano Nigeria waandamana kulaani jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Nov 12, 2023 13:10Maelfu ya Waislamu na waungaji mkono wa Palestina katika mji wa Kano, Nigeria wameandamana na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza.
-
Uongo 10 unaoenezwa na Wazayuni kupotosha kadhia ya Palestina
Nov 01, 2023 10:48Wazayuni wanafanya propaganda kubwa kujaribu kupotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zao na kuhusu kadhia nzima ya Palestina.
-
Wanajeshi wa Kizayuni walioangamizwa tangu kuanza Kimbunga cha Al Aqsa wafika 311
Oct 29, 2023 14:26Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa hadi sasa wanajeshi 311 wa Israel wameangamizwa tangu kuanza oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa.
-
Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"! + Video
Oct 22, 2023 03:21Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako amepatwa na tahayuri asijue la kufanya.