-
Araqchi: Barua ya Trump imepokewa
Mar 13, 2025 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mazungumzo aliyofanya jana na Mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais wa Imarati na kuandika: 'Nimepokea pia barua kutoka kwa Rais wa Marekani.'
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Wito wa Trump wa kufanya mazungumzo na Iran ni 'ulaghai' tu
Mar 12, 2025 23:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wito wa Rais Donald Trump wa Marekani kwamba anataka kufanya mazungumzo na Iran si lolote bali ni jaribio la "kuhadaa maoni ya umma duniani" na kutaka kuonyesha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni upande ambao hauko tayari kutoa fursa nyingine kwa diplomasia.
-
Iran ni kati ya nchi tatu zinazoongoza duniani katika kupandikiza uboho
Mar 12, 2025 22:53Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa nchi tatu zinazoongoza duniani kwa upandikizaji wa uboho kutokana na maendeleo makubwa katika nyanja za matibabu.
-
Kamanda Irani: Nchi za kanda zinaweza kujidhaminia usalama
Mar 12, 2025 09:13Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wanapaswa kubadili mtazamo wao kuhusu kanda hii na kusisitiza kuwa nchi za kanda zinaweza kuhakikisha usalama wao wenyewe.
-
Pezeshkian: Bora tufe kwa heshima, lakini hatutaishi kwa udhalili
Mar 12, 2025 03:45Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali mwenendo wa kimaksi wa utawala wa Donald Trump dhidi ya Iran na kueleza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu sio Ukraine, na katu haitafanya mazungumzo na Marekani katika mazingira ya vitisho au kulazimishwa.
-
"Luteka ya Mkanda wa Usalama, dhihirisho la uwezo wa Jeshi la Majini la Iran"
Mar 12, 2025 03:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya 'Mkanda wa Usalama 2025' yanadhihirisha ushujaa na uwezo mkubwa wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu katika medani za kimataifa.
-
Umuhimu wa uwepo wa Kikosi cha Wanamaji cha Iran katika mazoezi ya pamoja ya Usalama Baharini kwa mara ya saba
Mar 11, 2025 22:56Mazoezi ya pamoja ya Ukanda wa Usalama 2025 (Security Belt-2025), yanafanyika kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa ushiriki wa vikosi vya majini vya Iran, Russia na China.
-
Iran: Hatuchukui maagizo kutoka kwa yeyote kuhusu teknolojia ya nyuklia
Mar 11, 2025 08:30Makamu wa Kwanza wa Rais, Mohammad Reza Aref amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko imara katika sera yake huru ya nyuklia na wala haishauriani au kuchukua maagizo kutoka kwa mtu yeyote yule.
-
Jibu la msingi la Iran kwa hatua haramu ya Marekani mkabala wa Iraq; Araqchi aikosoa Marekani
Mar 11, 2025 03:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuhusu dhamira ya nchi hii kwa Iraq ili kutoa ushirikiano kwa ajili ya kukomesha hatua za Marekani zilizo kinyume cha sheria.
-
"Mantiki ya Muqawama ya IRGC ndiyo njia pekee ya kuwaokoa Waislamu"
Mar 11, 2025 01:09Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami amesema mantiki ya Muqawama ya SEPAH ndiyo njia pekee ya kuwaokoa Waislamu mkabala wa kutawaliwa na maadui.