-
Sisitizo la kupanuliwa uhusiano wa Iran na China
Jul 06, 2024 22:54Mohammad Mokhbrr, Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais Xi Jinping wa China walikutana na kujadiliana kando ya Mkutano wa 24 wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai huko Astana, mji mkuu wa Kazakhstan.
-
Viongozi wa nchi mbalimbali waendelea kutoa pongezi kwa Rais mteule wa Iran
Jul 06, 2024 22:52Viongozi na maafisa wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali duniani wameendelea kumpongeza Daktari Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa Iran.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Suala muhimu zaidi la sasa ni kushindwa nchi za Magharibi kimaadili na kisiasa
Jul 06, 2024 11:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa suala muhimu zaidi duniani leo hii ni kufeli nchi za Magharibi katika masuala ya kimaadili na kisiasa.
-
Viongozi wa dunia wamtumia salamu za pongezi Rais mteule wa Iran
Jul 06, 2024 07:52Marais na viongozi wa nchi mbali mbali duniani wameendelea kutuma jumbe na salamu za pongezi wakimpongeza Rais mteule wa Iran, Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika ndani na nje ya Iran jana Ijumaa.
-
Jalili ampongeza Pezeshkian kwa ushindi wa kiti cha Rais wa Iran
Jul 06, 2024 11:19Saeed Jalili, ametoa ujumbe akimpongeza Massoud Pezeshkian aliyechuana naye katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Kiislamu baada ya mapema leo asubuhi Wizara ya Mambo ya Ndani kutangaza matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika jana kote nchini.
-
Kiongozi Muadhamu ampongeza Rais mteule wa Iran; awashukuru Wairani kwa kupiga kura kwa wingi
Jul 06, 2024 08:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amempongeza Rais mteule wa Iran, Masoud Pezeshkian na kutoa shukrani za dhati pia kwa wagombea wote wa uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu; na maafisa walioshiriki katika mchakato mzima wa uchaguzi huo.
-
Masoud Pezeshkian ashinda kiti cha urais Iran
Jul 05, 2024 23:38Massoud Pezeshkian amechaguliwa kuwa Rais wa 9 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya kupata kura nyingi zaidi za wananchi katika duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika jana Ijumaa.
-
Muda wa kupiga kura kwenye uchaguzi wa rais Iran warefushwa
Jul 05, 2024 11:25Muda wa kupiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Iran iliyoanza mapema leo kote nchini, umerefushwa kwa saa mbili, hiyo ikiwa na maana kuwa zoezi hili litaendelea hadi saa mbili usiku kwa saa za hapa nchini.
-
Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Iran yaakisiwa kwa wingi duniani
Jul 05, 2024 07:43Vyombo vya habari vya duniani vimeakisi kwa wingi mno duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kisilamu ya Iran kutokana na watu kujitokeza kwa mamilioni katika uchaguzi huo wa leo Ijumaa.
-
Uchaguzi wa rais wa Iran umeanza mapema leo, Ayatullah Khamenei apiga kura
Jul 05, 2024 04:01Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepongeza "kuhusika athirifu" kwa watu wa Iran katika uchaguzi wa rais ulioanza mapema leo hapa nchini.