-
Rais Pezeshkian: Shambulio lolote dhidi ya Ayatullah Khamenei ni vita 'kamili' na taifa la Iran
Jan 18, 2026 23:41Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameonya kwamba shambulio lolote dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei litakuwa "vita kamili" na taifa la Iran.
-
Iran: Kukabidhiwa kambi ya anga ya Ain al Asad ni ishara ya kuimarisha mamlaka ya kujitawala ya Iraq
Jan 18, 2026 23:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekaribisha kukabidhiwa kambi ya anga ya Ain al Asad kwa vikosi vya jeshi la Iraq na kuitaja hatua hiyo kuwa ishara ya kuimarishwa utuvulivu na mamlaka ya kujitawala Iraq.
-
Mahakama ya Iran kuwaadhibu vikali wahusika wa machafuko
Jan 18, 2026 09:07Mahakama ya Iran imesema itawafikisha mahakamani watu wote waliohusika katika kusababisha vifo vya watu wakati wa machafuko ya hivi karibuni nchini kote, ikiahidi adhabu kali kwa watakaopatikana na hatia.
-
Kwa nini nchi za eneo zinataka kudumishwa utulivu na uthabiti nchini Iran?
Jan 18, 2026 07:22Machafuko ya hivi karibuni nchini Iran na tishio la Trump kuishambulia kijeshi Iran ikiwa ni katika madai ya kuwaunga mkono wanaojiita waandamanaji vimezifanya nchi za eneo kuwa na wasiwasi mkubwa.
-
Rezaei: Tutazishughulikia balozi za Ujerumani, Uingereza na Ufaransa kwa kufanya uhalifu Iran
Jan 18, 2026 03:34Msemaji wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Iran amesema: Mabalozi wa nchi kama vile Ujerumani, Uingereza na Ufaransa ndio waliochochea ghasia na kusimamia vitendo vya kigaidi vya hivi karibuni nchini Iran na kwamba Tehran itazishughulikia balozi hizo.
-
Iran yavunja rekodi ya uzalishaji wa gesi asilia
Jan 18, 2026 03:33Shirika la Taifa la Gesi la Iran limetangaza kuwa, limeweka rekodi mpya ya uzalishaji wa kila siku wa gesi asilia, sambamba na kuongezeka mahitaji ya familia, mitambo ya umeme na matumizi ya viwandani ya nishati hiyo muhimu.
-
Imam Khamenei: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja/ Lengo la Marekani ni kuimeza Iran
Jan 18, 2026 01:13Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
-
Kinara wa magaidi wa Marekani na Uzayuni amenaswa vipi katika mtego wa askari usalama wa Iran?
Jan 17, 2026 23:42Shirika la ujasusi la Iran limetangaza kuwa limemkamata mmoja wa maajenti wa ngazi ya juu aliyepewa mafunzo na mashirika ya ujasusi ya Marekani na Israel.
-
Onyo la Iran kwa Marekani; Usirudie tena vita vilivyofeli vya siku 12
Jan 17, 2026 23:07Tehran imemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kukariri uzoefu uliofeli wakati wa vita vya siku 12 vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.
-
Imam Khamenei: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja/ Lengo la Marekani ni kuimeza Iran
Jan 17, 2026 10:15Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.