Iran
  • Araqchi aitaka NAM kukabiliana na maamuzi ya upande mmoja na ukiukaji sheria wa Marekani

    Araqchi aitaka NAM kukabiliana na maamuzi ya upande mmoja na ukiukaji sheria wa Marekani

    Oct 15, 2025 09:55

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametoa wito wa kuwepo umoja na mshikamano zaidi kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) ili kukabiliana na kuongezeka kwa misimamo ya upande mmoja na uvunjaji sheria unaofanywa na baadhi ya madola.

  • Mauzo ya chuma ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 26%

    Mauzo ya chuma ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 26%

    Oct 15, 2025 08:21

    Thamani ya mauzo ya madini ya chuma ya Iran ilipanda hadi karibu dola bilioni 4 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu 2025, na kuashiria ongezeko la asilimia 26 ya mauzo hayo kwa mwaka.

  • Iran: Trump hawezi kuwa mtu wa kuleta amani wakati anachochea vita visivyo na mwisho

    Iran: Trump hawezi kuwa mtu wa kuleta amani wakati anachochea vita visivyo na mwisho

    Oct 15, 2025 02:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amemkosoa vikali Donald Trump kwa sera yake ya kuchochea vita katika eneo la Asia Magharibi, akisema rais wa Marekani hawezi kudai anapigania kuleta amani katika eneo hili huku akifuata sera za uchokozi na kufungamana na "wahalifu wa kivita."

  • Araghchi kuhudhuria mkutano wa NAM nchini Uganda

    Araghchi kuhudhuria mkutano wa NAM nchini Uganda

    Oct 14, 2025 23:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu, Abbas Araghchi atazuru Uganda karibuni hivi kushiriki Mkutano wa 19 wa Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM).

  • Iran: Trump hana haki ya kuzungumzia amani wakati anaisaidia Israel kuua watu kwa umati

    Iran: Trump hana haki ya kuzungumzia amani wakati anaisaidia Israel kuua watu kwa umati

    Oct 14, 2025 02:52

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu matamshi ya kibazazi ya Trump dhidi ya Tehran wakati alipolihutubia Bunge la Israel Knesset na imesema kuwa, Marekani ndiye nchi mzalishaji mkubwa wa ugaidi duniani na muungaji mkono mkuu wa wa utawala wa kigaidi umaofanya mauaji ya umati huko Ghaza, vipi inajipa mamlaka ya kimaadili ya kuwatuhumu watu wengine? Taarifa hiyo imesema kamwe wananchi wa Iran hawatasamehe wala kusahau jinai ya kinyama ya Marekani dhidi yao.

  • Iran: Dunia iwe macho, isikubali Israel ikiuke usitishaji vita Gaza

    Iran: Dunia iwe macho, isikubali Israel ikiuke usitishaji vita Gaza

    Oct 13, 2025 08:47

    Iran imesisitiza uungaji mkono wake usioyumba kwa juhudi zozote zinazolenga kukomesha mauaji na mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza, ikionya kuhusu historia ya utawala unaoikalia kwa mabavu Quds ya kukanyaga mikataba na makubaliano.

  • Ripoti: Iran yauza bidhaa za kilimo katika nchi 80 duniani

    Ripoti: Iran yauza bidhaa za kilimo katika nchi 80 duniani

    Oct 13, 2025 02:56

    Imeelezwa kuwa, mazao ya kilimo ya Iran yanasafirishwa kwenda nchi 80 duniani. Kwa kurekodi ukuaji mkubwa wa uzalishaji wa kilimo, Iran imejitambulisha kama mmoja wa wahusika wakuu katika soko la chakula la kimataifa.

  • Iran yakataa mwaliko wa mkutano wa Gaza; yasema haiwezi kuketi meza moja na walioishambulia

    Iran yakataa mwaliko wa mkutano wa Gaza; yasema haiwezi kuketi meza moja na walioishambulia

    Oct 12, 2025 23:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekataa mwaliko uliotolewa kwa Tehran kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano kuhusu Gaza uliopangwa kufanyika huko Sharm el Sheikh, Misri akisema kuwa hawezi kuketi pamoja na viongozi waliowashambulia wananchi wa Iran na wanaoendelea kuitishia nchi hii na kuiwekea vikwazo.

  • Mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto wa Palestina umefanyika Tehran

    Mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto wa Palestina umefanyika Tehran

    Oct 12, 2025 08:59

    Mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto na mabarobaro wa Kipalestina, umefanyika leo Jumapili kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kiislamu mjini Tehran, kwa kuhudhuriwa na maafisa wa ndani, wageni kutoka nchi za nje na wanaharakati wa Kipalestina.