-
Wabunge 150 wa Iran walaani chokochoko za Marekani nchini Venezuela
Dec 24, 2025 08:01Kundi la wabunge 150 wa Iran limeilaani vikali Marekani kwa chokochoko zake huko Venezuala na kuzuia meli za mafuta katika Bahari ya Karibi, likisema kuwa vitendo hivyo vya Washington ni uharamia wa baharini na ni tishio kwa utulivu na usalama wa ukanda huo.
-
Ujumbe wa Libya wawasili Ankara, Uturuki kufuatilia kifo cha Mkuu wa Jeshi
Dec 24, 2025 07:57Ujumbe wa Libya leo Jumatano umewasili Ankara, Uturuki kufanya uchunguzi kuhusu ajali ya ndege binafsi iliyowaua maafisa wakuu wa jeshi la Libya akiwemo Mkuu wa Jeshi wa nchi hiyo, Luteni Jenerali Mohammad Ali Ahmed al-Haddad.
-
Wazayuni wajigamba kwa kuishambulia kijeshi Qatar
Dec 24, 2025 07:56Waziri mmoja wa utawala wa Kizayuni wa ameishambulia Qatar kwa maneno makali na kutamba kuwa shambulio la miezi ya hivi karibuni lililofanywa na Israel nchini Qatar lilikuwa ni "hatua sahihi" iliyokuwa ya lazima kuchukuliwa.
-
Waziri wa Vita wa Israel afuta haraka matamshi yake kuhusu uvamizi
Dec 24, 2025 07:56Waziri wa Vita wa Israel amelazimika kufuta matamshi yake saa chache tu baada ya kudai kuwa kamwe utawala wa Kizayuni hautaondoa wanajeshi wake vamizi kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
"G20" latajwa kuwa neno maarufu zaidi kwa mwaka 2025 nchini Afrika Kusini
Dec 24, 2025 07:55Neno "G20" lilikuwa ndilo neno lililotumika mara nyingi zaidi nchini Afrika Kusini mwaka wa 2025. Hayo ni kwa mujibu wa Bodi ya Lugha ya Afrika Kusini (PanSALB).
-
Iran, Russia na China Zaungana katika Kupinga Snapback
Dec 24, 2025 07:02Wawakilishi wa Iran, Russia na China katika Umoja wa Mataifa wamesisitiza, katika mkutano wa Baraza la Usalama la umoja huo, kwamba madai ya Marekani pamoja na Uingereza na Ufaransa, hayakuwa halali kuhusu kurejeshwa mara moja na bila masharti vikwazo vya UN dhidi ya Jamhuri ya Kislamu maarufu kama snapback.
-
Utayari wa Iran wa kuanzisha mtandao wa nchi za Kiislamu wa bioteknolojia na kuimarisha usalama wa chakula
Dec 24, 2025 05:04Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Bioteknolojia ya Kilimo ya Iran ametangaza utayari wa kuanzisha mtandao wa pamoja wa ushirikiano wa kisayansi na utafiti na nchi za Kiislamu katika sekta ya usalama wa chakula.
-
Ubelgiji yajiunga katika kesi ya ICJ dhidi ya mauaji ya kimbari ya Israel Gaza
Dec 24, 2025 05:01Ubelgiji imetangaza kujiunga katika kesi ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Baada ya Oktoba 2025, Azimio 2231 halikuwa tena na itibari ya kisheria
Dec 24, 2025 03:17Mwakilishi wa Iran katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa cha kujadili Azimio 2231 amesema, Jamhuri ya Kiislamu inakubaliana na misimamo ya Russia na China ya kupinga kuitishwa kwa kikao hicho. Azimio 2231 lina kifungu kinachoeleza bayana kwamba muda wake wa kumalizika ni Oktoba 2025, na baada ya hapo hakutakuwa tena na msingi wa kisheria wa kuendelea majukumu ya azimio hilo.
-
Mkuu wa majeshi Libya na wenzake wafariki katika ajali ya ndege, serikali yatangaza mambolezo ya siku 3
Dec 24, 2025 02:49Waziri Mkuu wa Libya Abdulhamid Dbeibeh ametangaza kuwa Mkuu wa Majeshi Luteni Jenerali Mohammad Ali Ahmed al-Haddad na maafisa wengine wanne waandamizi wamefariki dunia katika ajali ya ndege iliyotokea wakati walipokuwa wakirejea Libya kutoka kwenye ziara rasmi nchini Uturuki.