-
Mwanaharakati Muaustralia aliyesilimu kutokana na Palestina: Nashangaa watu wote si Waislamu
Dec 24, 2025 02:48Robert Martin, mwandishi na mwanaharakati Muaustralia mtetezi na muungaji mkono wa Palestina, ambaye amesilimu hivi karibuni amesema, uungaji mkono wake kwa Palestina na safari yake ya kiimani kuelekea kwenye dini tukufu ya Uislamu vimechochewa na miaka kadhaa ya uanaharakati na tajiriba aliyopata katika safari za misafara ya meli za Uhuru, ambazo zimejaribu kuvunja kizuizi kilichowekwa na Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Mali, Burkina Faso na Niger zaanzisha kituo cha Televisheni kukabiliana na taarifa za upotoshaji
Dec 24, 2025 02:47Viongozi wa Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES), kundi linalojumuisha Mali, Burkina Faso na Niger, umeanzisha shirika jipya la habari lenye makao yake makuu katika mji mkuu wa Mali, Bamako.
-
'Futa kauli au jiuzulu': CAIR yamkemea Mkuu wa Intelijensia kwa kudai Uislamu ndiyo tishio kuu kwa US
Dec 24, 2025 02:47Jumuiya kubwa zaidi ya kutetea haki za kiraia ya Waislamu nchini Marekani ya Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (Cair) (The Council on American Islamic Relations) imemtaka mkurugenzi wa intelijensia ya taifa ya nchi hiyo Tulsi Gabbard ajiuzulu au afute kauli yake ya kudai kwamba tishio kubwa kwa nchi hiyo ni "Sharia za Kiislamu" na ambazo amesema "zinatishia ustaarabu wa magharibi".
-
Araqchi na Abdul Ati wakubaliana kuimarishwa uhusiano wa Iran na Misri
Dec 23, 2025 23:28Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Misri wamekubaliana kwa njia ya simu kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya Tehran na Cairo na matukio muhimu ya kieneo na kimataifa.
-
"Uwezo wa makombora ya Iran umeimarika, tayari kukabili adui"
Dec 23, 2025 23:10Msemaji wa Jeshi la Iran amesema kwamba, uwezo wa vikosi vya majini, ardhini, na makombora vya Jamhuri ya Kiislamu viko tayari kikamilifu kukabiliana na senario yoyote tarajiwa ya adui, akisisitiza kwamba Tehran bado haijatumia nguvu yake halisi ya makombora.
-
Mufti wa Al-Azhar: Kiwango cha dhulma ilichofikia kadhia ya Palestina hakimruhusu mtu kubaki njiapanda
Dec 23, 2025 23:09Taasisi kubwa zaidi ya Kiislamu nchini Misri ya Al-Azhar imesema, piganio la haki la Palestina limefikia kiwango cha dhulma na ukandamizwaji ambacho hakimruhusu mtu kubaki njiapanda na kudai kuwa haegemei upande wowote.
-
Mashinikizo ya Marekani kwa Pakistan kushiriki katika 'Kikosi cha Usalama cha Kimataifa' cha Gaza na kukataa Islamabad
Dec 23, 2025 23:08Licha ya mashinikizo ya Marekani kwa Pakistan ili kushiriki katika "Kikosi cha Usalama cha Kimataifa" cha Gaza, lakini Islamabad ilitangaza kwamba bado hakuna uamuzi uliochukuliwa nan chi hiyo wa kutuma wanajeshi katika Ukanda wa Gaza.
-
Utayari wa Iran wa kuanzisha mtandao wa nchi za Kiislamu wa bioteknolojia na kuimarisha usalama wa chakula
Dec 23, 2025 23:08Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Bioteknolojia ya Kilimo ya Iran ametangaza utayari wa kuanzisha mtandao wa pamoja wa ushirikiano wa kisayansi na utafiti na nchi za Kiislamu katika sekta ya usalama wa chakula.
-
UN: Robo ya wananchi wa Somalia wameathiriwa na ukame
Dec 23, 2025 23:04Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema ukame umeathiri zaidi ya watu milioni 4.6 nchini Somalia, karibu robo ya idadi ya watu wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Rais Pezeshkian awasilisha rasimu ya bajeti katika Bunge la Iran
Dec 23, 2025 10:03Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amewasilisha rasimu ya bajeti ya mwaka ujao wa kifedha wa Iran (kuanzia Machi 21, 2026) katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).