-
Ulaya na kupuuzwa nchi maskini; wakati kaulimbiu za haki za binadamu zinapopoteza maana yake
Dec 23, 2025 00:49Ulaya imefadhilisha kutoa misaada yake kwa Ukraine kuliko kutoa misaada hiyo kwa nchi maskini hasa za Afrika.
-
Meja Jenerali Hatami: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za adui
Dec 22, 2025 23:46Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tunafuatilia kwa karibu hatari na nyendo kwa umakini mkubwa.
-
HAMAS yaonya kuhusu mipango hatari ya Israel dhidi ya Baytul-Muqaddas
Dec 22, 2025 23:46Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kuhusu mipango hatari ya Israel dhidi ya Baytul-Muqaddas na kuwafanya Wapalestina kuwa wakimbizi.
-
Mtafiti mwanamke wa Kiirani ashinda tuzo ya utafiti ya COMSTECH ya mwaka 2025
Dec 22, 2025 23:45Mwanamke mtafiti Muirani amechaguliwa kuwa mmoja wa wapokeaji wa Mpango wa Tuzo ya Utafiti kwa Watafiti Vijana Wanawake wa COMSTECH kwa mwaka wa 2025.
-
Mataifa ya Maziwa Makuu kutatua mgogoro wa DRC
Dec 22, 2025 23:45Wajumbe kutoka Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameafikiana kwamba nchi za Maziwa makuu zinapaswa kuhusishwa katika juhudi za kuutatua mgogoro huo ambao sasa unaihusisha Burundi moja kwa moja.
-
UNDP yapasisha mradi wa dola milioni 5.8 kulinda Maziwa ya Ubari nchini Libya
Dec 22, 2025 23:44Shirila la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Libya lilitangaza jana Jumatatu kuwa limeidhinisha mradi wa dola milioni 5.8 unaofadhiliwa na Kituo cha Mazingira Duniani (GEF) ili kushughulikia changamoto za mazingira na maendeleo katika bonde la Maziwa ya Ubari huko magharibi mwa Libya.
-
Baqaei: Uwezo wa kujihami wa nchi si wa kujadiliwa; Vikosi vya ulinzi vimejiandaa kikamilifu kulilinda taifa
Dec 22, 2025 07:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa uwezo wa kiulinzi wa nchi hii kimsingi umeratibiwa kwa lengo la kuzuia mashambulizi yoyote ya wavamizi na si suala la kujadiliwa.
-
Uhaba wa dawa za matibabu Gaza umefikia viwango vya kutisha kufuatia mzingiro wa Israel
Dec 22, 2025 07:22Wizara ya Afya ya Gaza imetahadharisha kuhusu uhaba mkubwa na hatari zaidi wa dawa na vifaa vya matibabu. Imesema kuwa uhaba huo umelemaza uwezo wa eneo hilo wa kutoa huduma ya dharura ya matibabu na kuokoa maisha ya wagonjwa kufuatia kuendelea mzingiro wa Israel dhidi ya Gaza.
-
Jenerali wa ngazi ya juu wa Russia auawa katika shambulio la kuvizia mjini Moscow
Dec 22, 2025 07:14Wachunguzi wa Russia wamethibitisha kuwa Mkuu wa Kurugenzi ya Uendeshaji ya Mafunzo ya Vikosi vya Ulinzi vya Russia ameuawa baada ya mada ya mlipuko ilioyokuwa imetegwa chini ya gari yake kulipuka katika wilaya ya Yasenevo kusini mwa mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Rwanda yafunga maelfu ya makanisa ya kiinjili
Dec 22, 2025 07:07Rwanda imefunga zaidi ya makanisa 10,000 ya kiinjilisti kwa kushindwa kufuata sheria ya mwaka 2018 iliyoanzishwa kwa ajili ya kusimamia maeneo ya ibada.