-
Arabi21: Utawala wa Kizayuni wa Israel unasambaza dawa za kulevya huko Gaza
Dec 22, 2025 06:50Chombo cha habari cha Arabi21 kimeripoti kuwa, ingawa jeshi la Israel limezuia kuingia bidhaa nyingi muhimu huko Gaza, ripoti zinaonyesha kuwa usafirishaji haramu wa dawa za kulevya katika eneo hilo unarahisishwa.
-
Kwa nini Afrika inadai fidia ya utumwa kutoka nchi za Magharibi?
Dec 22, 2025 06:08Afrika imeazimia ipasavyo kulipwa fidia ya kipindi cha utumwa kutoka nchi za Magharibi, na katika suala hili, Rais wa Ghana amechukua jukumu la kudai fidia ya kipindi cha utumwa Wazungu barani Afrika.
-
Ulimwengu wa Spoti, Dec 22
Dec 22, 2025 04:56Hujambo mpenzi mskilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia ukiwemo ufunguzi wa michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco.
-
Meli za kivita za Iran zaelekea Afrika Kusini kushiriki mazoezi ya kijeshi ya BRICS
Dec 22, 2025 04:01Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesifu “kuongezeka kwa uwepo wa Iran baharini” nje ya eneo la Asia Magharibi, akitangaza kwamba meli kadhaa za kivita za jeshi hilo zinaelekea Afrika Kusini.
-
Viongozi wa Afrika wataka suluhisho la kikanda kwa mgogoro wa DR Congo
Dec 22, 2025 04:00Viongozi wa nchi kadhaa za Afrika siku ya Jumapili walitaka juhudi za kikanda zipewe kipaumbele katika kutatua mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), huku mipango ya kimataifa ikipewa nafasi ya usaidizi.
-
Mkuu wa Majeshi ya Iran: Israel hutekeleza mashambulizi dhidi ya Wayahudi ili wengine walaumiwe
Dec 22, 2025 03:58Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa utawala wa Israel unatekeleza mashambulizi ya “kujidhuru” dhidi ya jumuiya za Wayahudi maeneo mbali mbali duniani ili kuchochea hofu ya chuki dhidi ya Wayahudi.
-
Iran yatengeneza kifaa cha kugundua saratani ya matiti kwa sekunde 15
Dec 22, 2025 03:58Iran imezindua kifaa kipya cha kusaidia upasuaji wa saratani ya matiti kinachoitwa Cancer Diagnostic Probe (CDP), ambacho kinapunguza muda wa kugundua mipaka ya tishu zilizoathirika kutoka dakika 45 hadi sekunde 15 pekee.
-
Wanafunzi 130 waliotekwa nyara Nigeria waokolewa
Dec 22, 2025 03:57Serikali ya Nigeria imetangaza kufanikiwa kuwaokoa wanafunzi 130 wa shule waliotekwa na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki mwezi Novemba.
-
Rais Pezeshkian: Ushirikiano wa Iran na EAEU unafungua njia ya kuwa na 'kanda yenye nguvu'
Dec 21, 2025 23:53Rais Masoud Pezeshkian ameulezea ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Kiuchumi wa Ulaya na Asia EAEU kama mkakati wa muda mrefu wa kuimarisha mamlaka ya kitaifa ya kujitawala na kuanzisha kitovu cha nguvu ya kikanda.
-
Albanese: Misri inaunga mkono mauaji ya halaiki ya Wapalestina
Dec 21, 2025 23:21Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa ameitaja hatua ya Misri ya kuidhinisha makubaliano ya ununuzi wa gesi kutoka kwa utawala wa Israel kuwa ni uungaji mkono wa nchi hiyo kwa mauaji ya halaiki yanayofanywa na Wazayuni huko Gaza.