-
Meli iliyotekwa kiharamia na Marekani Venezuela ni ya China
Dec 21, 2025 23:21Duru moja ya habari nchini Marekani imefichua kuwa, meli ya mafuta iliyotekwa kiharamia na Marekani nje ya pwani ya Venezuela ni mali ya China si ya Venezuela.
-
Hali mbaya ya wakimbizi Wazayuni; ukurasa wa kuuza viporo wapata umaarufu Israel
Dec 21, 2025 23:20Ukurasa mmoja wa mitandao ya kijamii unaouza viporo na masalia ya chakula yaliyobaki mikahawani umepata umaarufu mkubwa huko Israel kiasi kwamba kutokana na hali ngumu ya maisha, Wazayuni wengi wanajitokeza kwenye ukurasa huo kununua chakula kilichobaki mikahawani na matunda yaliyoharibika madukani.
-
Nyaraka za mahakama: Epstein alimuarifisha Trump kwa msichana wa miaka 14
Dec 21, 2025 23:20Uwasilishaji faili jipya la mahakama katika kesi ya Jeffrey Epstein unaonyesha kwamba, mfanyabiashara haramu huyo wa ngono alimtambulisha binti wa miaka 14 kwa Rais wa Marekani Donald Trump katika makazi yake ya Mar-a-Lago.
-
Venezuela imewezaje kuwa kinara wa ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Latini?
Dec 21, 2025 23:18Venezuela, baada ya kuvuka kikwazo cha vikwazo vya kiuchumi, imejinyakulia kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Kusini mwaka 2025.
-
Maulamaa wa Yemen walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Marekani
Dec 21, 2025 08:46Maulamaa na wanazuoni wa Yemen wamelaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Marekani. Tukio la hivi karibuni la uhalifu huo limefanywa na mgombea mmoja wa Baraza la Seneti la Marekani.
-
AU yamuunga mkono Jenerali Al Burhan na kuwalaani RSF Sudan
Dec 21, 2025 08:05Umoja wa Afrika AU umetangaza kumuunga mkono Jenerali Abdel Fattah al Burhan na serikali yake nchini Sudan na kusisitizia wajibu wa kurejeshwa umoja wa ardhi na utulivu wa nchi hiyo. Pia umetoa mwito wa kufanyika mazungumzo baina ya pande hasimu ili kukomesha vita vya umwagaji damu visivyo na sababu ya maana.
-
Iran, Venezuela zalaani 'uharamia' wa Marekani Caribbean
Dec 21, 2025 07:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi na mwenzake wa Venezuela, Yvan Gil Pinto wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu ambapo wamelaani uwepo wa jeshi la Marekani katika eneo la Caribbean, wakiishutumu Washington kwa kukiuka sheria za kimataifa, na kusisitiza dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika kupinga sera za upande mmoja.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza, Ukingo wa Magharibi
Dec 21, 2025 07:43Wapalestina wawili, akiwemo kijana mmoja, wameuawa shahidi huku wengine wawili wakijeruhiwa kwa risasi baada ya vikosi vya Israel kufanya mashambulizi tofauti katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, katika ghasia za hivi punde dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo linalokaliwa kwa mabavu.
-
BBC yafichua kashfa ya Mzayuni aliyelaghai kwa jina la saratani Canada
Dec 21, 2025 07:40Uchunguzi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC umefichua kashfa ya utapeli, ambapo Muisraeli amekuwa akipokea misaada eti kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa wa saratani nchini Canada.
-
Wanazuoni wa Yemen: Kutetea matukufu ya Kiislamu ni wajibu wa kidini
Dec 21, 2025 06:14Jumuiya ya Maulamaa wa Yemeni ilifanya mkutano mkubwa katika mji mkuu Sanaa siku ya Jumamosi, na kusisitiza jukumu la kidini la wasomi na maulamaa katika kutetea Qur’an na matukufu ya Kiislamu.