-
Makundi ya Muqawama ya Palestina yakataa Ghaza kuwa chini ya utawala na usimamizi wa wageni
Oct 10, 2025 23:52Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS pamoja na makundi mengine washirika ya Muqawama wa Palestina yamesisitiza kuwa uamuzi wowote kuhusu utawala wa baadaye wa Ghaza ni "suala la ndani la Palestina" na kupinga vikali eneo hilo kutawaliwa na kusimamiwa na maajinabi.
-
Wananchi wa Iran waandamana; waitaka Israel iheshimu kikamilifu makubaliano ya kusitisha vita Gaza
Oct 10, 2025 23:07Umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Tehran na miji mingine kote Iran jana waliandamana kwa lengo la kuiunga mkono Palestina na kuonyesha mshikamano kwa wakazi wa Ukanda wa Gaza.
-
Somalia na Djibouti zakaribisha usitishaji vita Gaza; zatoa wito wa kuasisiwa taifa huru la Palestina
Oct 10, 2025 23:04Somalia na Djibouti zimekaribisha makubaliano ya amani yaliyofikiwa kwa ajili ya kusitisitisha vita katika Ukanda wa Gaza na kupongeza juhudi za kikanda na kimataifa za kufanikisha usitishaji vita, kuhahkikisha misaada ya kibinadamu inafika Gaza na wafungwa na mateka wote wanaachiwa huru.
-
China: Tutachukua hatua muhimu kujibu vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Oct 10, 2025 23:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza kuwa nchi yake itachukua hatua "muhimu" ili kulinda haki halali za makampuni na raia wa China katika kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Mlipuko nadra wa homa ya Bonde la Ufa wauwa watu 17 Senegal
Oct 10, 2025 23:01Mamlaka za afya nchini Senegal zimethibitisha kuaga dunia watu 17 katika kile kinachoelezwa kuwa mlipuko mkubwa wa Homa ya Bonde la Ufa (RVF). Mlipuko huu wa homa ya Bonde la Ufa umetajwa kuwa mbaya zaidi kuwahi kuiathiri Senegal katika miongo kadhaa.
-
Afghanistan; kutoka kwenye medani ya vita hadi kugeuzwa uwanja wa ushindani wa kijiopolitiki
Oct 10, 2025 22:55Miaka minne tangu ilipojiondoa Marekani, kwa mara nyingine tena Afghanistan imegeuzwa nukta kuu inayoangaziwa na madola yenye nguvu duniani.
-
Haj Ali Akbari: Israel imepata pigo kubwa miaka miwili baada ya operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa
Oct 10, 2025 08:48Khatibu wa Swala ya Ijumaaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, miaka miwili baada ya Operesheni kubwa ya Kimbunga cha Al-Aqswa haiba ya utawala wa Kizayuni imejaa msukosuko na mparaganyiko.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Utawala wa Kizayuni umetenda jinai za karne Gaza kwa msaada wa Marekani
Oct 10, 2025 08:30Sayyid Abdul Malik Badreddin al-Houthi, kiongozi wa Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni umefanya jinai za karne huuko Gaza kwa kutumia silaha za Marekani.
-
Vikosi vya Israel vyaanza kuondoka katika baadhi ya maeneo ya Gaza
Oct 10, 2025 08:17Vikosi vya jeshi la utawala haramu wa Israel vimeanza kuondoka katika baadhi ya maeneo Gaza baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka kupasishhwa.
-
Maria Machado ashinda tuzo ya amani ya Nobel; Trump aambulia patupu
Oct 10, 2025 07:54Mwanaharakati wa upinzani wa Venezuela María Corina Machado ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 kwa ujasiri wa kupigania demokrasia na uchaguzi huru licha ya vitisho. Kamati ya Nobel imemsifu kwa kuunganisha upinzani.