-
Bunge la Peru lamuondoa madarakani Rais Dina Boluarte
Oct 10, 2025 07:53Rais wa Peru mama Dina Boluarte ameondolewa madarakani kwa kura nyingi za wabunge, kufuatia hoja kadhaa zilizowasilishwa na makundi mbalimbali ya vyama vya siasa bungeni.
-
Kilio cha vyombo vya habari na duru za kisiasa za Israel kwa makubaliano ya usitishaji vita; HAMAS inasalia Ghaza na imeshinda
Oct 10, 2025 03:58Baada ya kutangazwa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza na ya kubadilishana mateka kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, vyombo vya habari na duru za kisiasa za ndani ya utawala wa kizayuni zimetoa lawama kwa kuashiria matokeo ya vita na kuendelea kubaki thabiti miundo na mihimili ya Muqawama ndani ya Ghaza.
-
Iran: Maadui wanajua watalazimika ‘kuomba usitishaji vita’ iwapo watatushambulia tena
Oct 10, 2025 03:29Makamu wa Rais wa Iran, Mohammad Reza Aref amesema matukio ya hivi karibuni yameonyesha nguvu ya Jamhuri ya Kiislamu na kutangaza kwamba, maadui sasa wanatambua shambulio lolote dhidi ya taifa hili litawalazimu "kuomba kusitishwa kwa mapigano."
-
Hamas: Israel imechuja orodha ya Wapalestina wanaopasa kuachiwa
Oct 10, 2025 03:25Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema utawala wa Israel unajaribu kuhadaa, kufanyia hila na kuchuja baadhi ya vipengele katika makubaliano ya usitishaji vita.
-
Ruto: Kuondolewa viza Afrika kutatatua changamoto za bara hilo
Oct 10, 2025 03:05Rais William Ruto wa Kenya ameahidi kuongoza juhudi za kuondoa masharti ya viza kwa Waafrika na kutatua mizozo inayokumba bara hilo.
-
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yataka kuachiliwa wanaharakati wa Sumud
Oct 10, 2025 02:55Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kuendelea kuwashikilia wanaharakati wa msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa Gaza, na kutaka kuachiwa mara moja kwa raia wa Nigeria na wa mataifa mengine waliotekwa nyara na kuzuiliwa na askari wa majini wa Kizayuni.
-
Putin: Israel imeniomba niipe Iran ujumbe kwamba haitaki vita
Oct 10, 2025 02:44Rais wa Russia, Vladmir Putin amesema viongozi wa Israel wamemtaka aieleze Iran kwamba, utawala huo haufuatilii vita na makabiliano zaidi na Iran, na una hamu ya kupunguza mvutano.
-
Iran: Tunaunga mkono mpango wowote wa kumaliza vita, mauaji ya kimbari Gaza
Oct 09, 2025 23:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba Jamhuri ya Kiislamu daima inaunga mkono mpango wowote unaolenga kukomesha vita na mauaji ya halaiki huko Gaza, na kusisitiza ulazima wa kuwa macho mkabala wa hulka ya utawala wa Israel ya kukiuka ahadi na makubaliano.
-
Vipengee muhimu vya makubaliano ya usitishaji vita Gaza
Oct 09, 2025 23:02Utawala unaoukalia kwa mabavu Palestina na Hamas hatimaye wamefikia maelewano juu ya kutekeleza awamu ya kwanza ya usitishaji vita huko Gaza.
-
Tshisekedi amtaka Kagame aache kuwaunga mkono waasi
Oct 09, 2025 23:01Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemtaka mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kuacha kuwasaidia waasi mashariki ya DRC na kutengeneza amani.