-
Baqaei: Marekani imeonyesha tena sera yake ya uharibifu kwa kushambulia miundombinu ya Iran
Jul 20, 2026 11:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei amesema kuwa Marekani imeonyesha kwa mara nyingine tena sera yake ya uharibifu baada ya kufanya mashambulizi dhidi ya miundombinu ya Iran.
-
Idadi ya waliofariki dunia kwa Ebola DRC yapindukia 900
Jul 20, 2026 11:08Takribani watu 930 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Hiyo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya nchini humo.
-
Ndege za Marekani za kuongeza mafuta angani zahamishiwa Israel kwa hofu ya mashambulizi ya Iran
Jul 20, 2026 10:59Ndege za Marekani za kuongeza mafuta angani (refuelling aircraft) zimehamishiwa katika eneo la Palestina inayokaliwa, kutokana na hofu ya mashambulizi yanayoweza kufanywa na Iran.
-
Walowezi wa Kizayuni wachoma moto nyumba mbili na msikiti wa Wapalestina
Jul 20, 2026 10:33Walowezi wa Kizayuni wamechoma moto nyumba mbili pamoja na msikiti mmoja wa Wapalestina, katika tukio lililotajwa kuwa sehemu ya mashambulizi dhidi ya mali za Wapalestina.
-
The Guardian: Trump ndiye adui nambari moja wa jamii ya kimataifa
Jul 20, 2026 10:15Gazeti la Uingereza The Guardian limemuelezea Rais wa Marekani Donald Trump kuwa ndiye “adui wa nambari moja wa jamii ya kimataifa”, likikosoa sera na hatua zake katika masuala ya kimataifa.
-
Kusimamishwa Ahadi za Mkataba wa Islamabad: Majibu ya Iran dhidi ya Ukiukaji wa Marekani
Jul 20, 2026 08:05Iran imesimamisha utekelezaji wa ahadi zake chini ya Mkataba wa Islamabad. Akifafanua suala hilo, Kazem Gharibabadi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, amesema kuwa baada ya Marekani kukiuka wajibu wake chini ya Mkataba wa Maelewano wa Islamabad, Tehran imesimamisha utekelezaji wa ahadi zake zote na kwamba sasa imejikita katika mipango ya kulinda nchi kwa uthabiti mkabala wa hujuma za adui.
-
Hamas yapongeza ushindi wa Uhispania katika Kombe la Dunia, yasema ni pigo kwa utawala wa Kizayuni
Jul 20, 2026 04:12Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Palestina, Hamas, ametoa pongezi za dhati kwa Uhispania kufuatia ushindi wake baada ya mechi ngumu katika fainali ya Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2026, akielezea mafanikio hayo kuwa ni chanzo cha furaha kwa watu wa Palestina na wafuasi wote wa haki, huku akibainisha kuwa ushindi huo ni pigo hasa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na wafadhili wake.
-
Askari mwingine wa Marekani auawa nchini Iraq huku idadi ya majeruhi ikipanda katika vita na Iran
Jul 20, 2026 04:10Jeshi la Marekani limekiri Jumapili kwamba askari wake mwingine ameuawa kufuatia shambulio la ndege isiyo na rubani ya Iran, huku operesheni za kulipiza kisasi za Jamhuri ya Kiislamu zikiendelea kuwasababishia hasara kubwa askari wa jeshi katili Marekani katika kanda nzima.
-
Wanazuoni wa Bahrain waonya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu
Jul 20, 2026 04:09Wanazuoni wa Bahrain wametoa onyo kuhusu kuendelea ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo, wakisema hali hiyo inazidi kuzorota na kuhatarisha haki za msingi za wananchi.
-
Waziri wa zamani wa Vita wa Israel: Tulishindwa kufikia malengo katika vita dhidi ya Iran
Jul 20, 2026 04:06Moshe Ya'alon, Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Israel, amekiri kuwa mashambulizi yaliyoelekezwa dhidi ya Iran hayakufanikiwa kufikia malengo yaliyokuwa yamekusudiwa.