-
Baada ya vita dhidi ya Iran: Akiba ya mafuta ya Marekani yashuka hadi kiwango cha chini zaidi
Jul 20, 2026 04:03Gazeti la Eurasia Daily limeripoti kuwa mvutano unaoendelea katika eneo la Asia Magharibi umesababisha akiba ya mafuta ya Marekani kushuka hadi kiwango cha chini zaidi katika kipindi cha miaka 43 iliyopita.
-
Maelfu waandamana kupinga usajili vitani kwa vijana Tigray
Jul 20, 2026 03:59Maelfu ya watu walikusanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia, kushiriki maandamano ya kuunga mkono serikali na kupinga madai ya kampeni ya mamlaka katika eneo la Tigray kuwasajili kwa lazima vijana kupigana vitani.
-
Je, ni malengo gani yanafuatiliwa na Marekani katika kushambulia miundombinu ya Iran?
Jul 19, 2026 13:45Kwa madai ya kushambuliwa meli kadhaa zinazopita kinyume cha sheria kusini mwa Lango-Bahari la Hormuz na kukiukwa Mkataba wa Islamabad, Rais Donald Trump wa Marekani aliamuru kuanzishwa tena mashambulizi ya kichokozi dhidi ya Iran kuanzia Julai 7, ambapo pia mzingiro wa majini dhidi ya Iran ulirejeshwa mnamo Julai 14.
-
Spika wa Bunge la Iran: Wito wa Kiongozi wa "Umoja wa Kitaifa" ni muhimu kwa ushindi
Jul 19, 2026 12:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amesisitiza kuwa kuzingatia maaagizo ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kuhusu kudumisha umoja wa kitaifa ni muhimu kwa ajili ya ushindi katika mapambano dhidi ya adui.
-
Jeshi la Iran lafanya mashambulizi mapya ya droni katika kambi za Marekani huko Kuwait/IRGC yatungua droni ya MQ-9 huko Ahvaz
Jul 19, 2026 12:47Jeshi la Iran lafanya mashambulizi mapya ya droni katika kambi za Marekani huko Kuwait/IRGC yatungua droni ya MQ-9 huko Ahvaz
-
Raia 114 wauawa mashariki mwa Kongo mwezi Juni
Jul 19, 2026 12:44Waasi wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi uliopita waliwauwa watu wasiopungua 114 kuwatekanyara wengine 17. Haya yameelezwa Shirika la Ufuatiliaji Usalama la Kivu Security Tracker.
-
Tunisia inakabiliwa na joto kali huku viwango vya joto vikikaribia nyuzi joto 50
Jul 19, 2026 12:40Wimbi kali la joto lisilo la kawaida limeikumba Tunisia, na kusababisha viwango vya joto kupanda hadi karibu nyuzi joto 50 Selsiasi na kuvunja rekodi za kihistoria katika maeneo kadhaa nchini humo.
-
Ayatullah Khamenei awapongeza Wairaqi kwa mahudhurio makubwa katika mazishi ya Kiongozi shahidi
Jul 19, 2026 09:29Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amewashukuru watu wa Iraq kwa mapokezi "makubwa" na mahudhurio yao ya kustaajabisha katika mazishi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, akisema tukio hilo linaonyesha uhusiano mkubwa wa kidini na kihistoria kati ya mataifa ya Iran na Iraq.
-
Ukiukaji wa MoU wa Marekani unathibitisha saini ya rais wa Marekani 'haina thamani'
Jul 19, 2026 03:44Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema ukiukaji wa mara kwa mara wa Marekani wa Mkataba wa Maelewano wa Islamabad (MoU) umethibitisha tena kwamba sahihi ya rais wa Marekani "haina thamani kabisa na ni batili."
-
Marekani yakiri wanajeshi wake wameuawa katika shambulizi la Iran nchini Jordan
Jul 19, 2026 03:29Jeshi la Marekani limethibitisha kwamba wanajeshi wake wasiopungua wawili wameuawa katika mashambulizi ya Iran yaliyolenga mali na kambi za kijeshi za za Marekani nchini Jordan.