-
Je, kila kitu kinakwenda vile unavyotamani kiende?
Apr 21, 2016 08:47Alitaka kuweka rekodi ya kuendesha gani kwa kazi kubwa zaidi kuliko wote duniani.... matokeo yake....
-
Urafiki hauhusu binadamu kwa binadamu tu
Apr 21, 2016 08:42Moyo wa mwanadamu usipokuwa na madhambi unaweza kujenga urafiki na kiumbe chochote. Ona urafiki huu baina ya mtoto huyu na mbuzi
-
Baina ya roho na mali kipi chenye thamani zaidi?
Apr 21, 2016 08:38Wako baadhi ya watu wako tayari kusamehe roho zao kwa ajili ya mali, wewe una msimamo gani. Huyu kwenye tukiwa hili la mafuriko aliamua hivi. Unakubaliana naye?
-
Mwizi mwenye silaha alivyozidiwa nguvu mikono mitupu
Apr 21, 2016 08:24Wakati mwingine ushujaa wa moyoni una nguvu zaidi kuliko silaha. Angalia namna mwizi mwenye silaha alivyozidiwa nguvu watu wasio na silaha...
-
Sakata la uchaguzi wa Meya jijini Dar es Salaam, Tanzania + Sauti
Mar 06, 2016 14:39Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameitaka mamlaka inayohusika kusimamia uchaguzi wa meya wa jiji hilo unaokwama kufanyika kutokana na kuahirishwa mara kwa mara, kutangaza tarehe rasmi ya kufanyika uchaguzi huo ili jiji hilo limpate kiongozi wake.
-
Wanasheria wazungumzia kurudiwa uchaguzi Zanzibar
Feb 24, 2016 07:15Wanasheria mbalimbali visiwani Zanzibar wamepinga matamshi ya hivi karibuni ya Jecha Salim Jecha, Mkuu wa Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC
-
Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi
Feb 24, 2016 07:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliwasili nchini Burundi wiki hii katika juhudi za kuutafutia suluhisho mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Rwanda yataka wakimbizi wa Burundi waondoke
Feb 24, 2016 07:09Rwanda imesema ni lazima wakimbizi wa Burundi walioko kwenye nchi hiyo wahamishiwe kwenye nchi ya tatu.
-
Fedha bandia zaharibu uchumi Tanzania
Feb 22, 2016 07:10Kuwepo uingizwaji wa fedha bandia katika mzunguko wa matumizi ya fedha nchini Tanzania kunatajwa kuwa ni kikwazo katika ustawi wa uchumi wa nchi hiyo
-
Matukio ya wiki ya Kiislamu
Feb 13, 2016 03:16Matukio muhimu ya Kiislamu ukanda wa Afrika Mashariki