Fedha bandia zaharibu uchumi Tanzania
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i1720-fedha_bandia_zaharibu_uchumi_tanzania
Kuwepo uingizwaji wa fedha bandia katika mzunguko wa matumizi ya fedha nchini Tanzania kunatajwa kuwa ni kikwazo katika ustawi wa uchumi wa nchi hiyo
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 22, 2016 07:10 UTC

Kuwepo uingizwaji wa fedha bandia katika mzunguko wa matumizi ya fedha nchini Tanzania kunatajwa kuwa ni kikwazo katika ustawi wa uchumi wa nchi hiyo

Tanzania hivi sasa inapambana kupiga hatua zaidi za kiuchumi na kukuza thamani ya fedha yake ambapo kuingizwa fedha bandia nchini humo hasa maeneo ya mijini kunaendelea kushamiri. Katika kudhibiti hali hiyo watanzania wamezitaka mamlaka za kifedha na kiusalama nchini humo kuhakikisha zinakomesha uingizwaji wa fedha hizo.

Gonga kwenye picha hapo juu kusikiliza taarifa zaidi kutokwa kwa mwandishi wetu wa Dar es Salaam, OMAR MANJI.