Mwandishi wetu Hassan Issa ametuandlia ripoti ifuatayo:
Wanasheria wazungumzia kurudiwa uchaguzi Zanzibar
Feb 24, 2016 07:15 UTC
Wanasheria mbalimbali visiwani Zanzibar wamepinga matamshi ya hivi karibuni ya Jecha Salim Jecha, Mkuu wa Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC
Wanasheria hayo wamekosoa vikali matamshi ya mwenyekiti huyo wa ZEC aliyezungumzia hatua walizofikia katika zoezi linalolalamikiwa na wengi la kurejea uchaguzi visiwani humo na kusema kuwa matamshi hayo ni kujaribu kuhalalisha batili ambayo Jecha Salim Jecha aliifanya kwa kutangaza kufuta uchaguzi wa Zanzibar kinyume cha sheria.
Tags