-
Serikali ya Uganda ina safari ndefu ya kupambana na ufisadi +SAUTI
Dec 04, 2020 13:54Serikali ya Uganda imejitahidi kufutilia mbali ufisadi na ulaghai lakini safri bado ni ndefu sana.
-
Mahakama ya Katiba CAR yamuondoa Bozize na wenzake katika kinyang'iro cha urais +SAUTI
Dec 04, 2020 13:48Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Afrika Kati imeondoa majina 16 ya wagombea wa kiti cha Urais likiwemo la rais wa zamani wan chi hito Francosi Bozize.
-
Mahakama ya Katiba CAR: Marufuku wabeba silaha kushiriki uchaguzi wa Bunge+SAUTI
Nov 28, 2020 13:39Mahakama ya Katiba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza uamuzi wake kuhusu majina ya watu wanaotaka kuwania viti vya bunge katika uchaguzi ujao wa bunge wa Disemba 27 mwaka huu, uchaguzi ambao utafanyika sambamba na ule wa urais.
-
Baadhi ya wananchi wa Rwanda wa maeneo hatarishi wahamishwa na kupatiwa nyumba za kisasa +SAUTI
Nov 26, 2020 13:38Hatimaye serikali ya Rwanda imeafikiana na kundi la wananchi waliokuwa hapo awali wamekataa kuhamishwa kutoka maeneo hatarishi kwenda kwenye sehemu ambayo serikali ya nchi hiyo inawajengea nyumba za kisasa.
-
Vyombo vya dola vya Uganda vyamuachia huru Bobi Wine; waliouawa katika ghasia wapindukia 60+SAUTI
Nov 20, 2020 10:57Kiongozi wa chama cha upinzani cha National Unity Platform (NUP) ambaye pia na mgombea urais nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kwa jina la Bobi Wine ameachiwa huru kwa dhamana na mahakama moja ya nchi hiyo. Hii ni baada ya kushtadi maandamano ya ghasia yaliyopelekea makumi ya watu kuuawa kufuatia kukamatwa kwa mwanasiasa huyo chipukizi.
-
Rais wa Zanzibar atangaza Baraza la Mawaziri, atenga wizara 2 kwa ajili ya ACT
Nov 19, 2020 11:51Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi, ametangaza baraza jipya la mawaziri katika serikali yake huku akiacha kutangaza majina ya mawaziri katika wizara mbili kwa ajili ya chama cha ACT-Wazalendo.
-
Zoezi la kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Rwanda kutoka DRC laanza +SAUTI
Nov 18, 2020 13:40Serikali ya Rwanda imeanza zoezi la kuzihamishia familia 1800 ambazo kwa takribani mwaka mzima ziliishi kwenye kambi ya muda magharibi mwa Rwanda baada ya kurejea kutoka misitu ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
-
Mkuu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda aonana na wagombea kutuliza mambo + SAUTI
Nov 16, 2020 12:08Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uganda amekutana na wagombea urais wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Januari 2021 nchini humo, ili kutatua migogoro iliyojitokeza wakati huu wa kampeni za uchaguzi. Maelezo zaidi na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi, Ismail.
-
Wizara ya Afya ya Uganda imeweka kanuni mpya za kudhibiti ugonjwa wa Covid-19 unaoitaabisha dunia nzima hivi sasa + SAUTI
Nov 14, 2020 13:48Wizara ya Afya ya Uganda imeweka kanuni mpya za kudhibiti ugonjwa wa Covid-19 baada ya kukabiliwa na changamoto kali za kuukabili ugonjwa huo unaoitaabisha dunia nzima hivi sasa.
-
Wagombea 13 wamejiandikisha kushiriki uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati utakaofanyika Desemba 27 + SAUTI
Nov 12, 2020 04:22Wagombea 13 wa kiti cha urais wamejiandikisha kushiriki uchaguzi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wa Desemba 27